Recent content by Bonge la Boss

  1. B

    GE2020 Wananchi wa Kawe mnafahamu jambo hili?

    Sijui unatokea kata ipi lakini ungejua namna ambavyo misikiti imepata maji kutoka kwa Gwajima wala usingeshirikisha waislamu wenzio kwenye hili. Waislamu wako tayari kumchagua kiongozi aliyewaletea maji na msaada hata kabla ya kuwa mbunge
  2. B

    GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Nilishangaa kuona sera za mdee ni matusi na dharau, kiukweli sio sifa za kiongozi kutumia lugha chafu mbele za watu unategemea kuwaongoza, miaka 10 imetosha, mdee pumzika mtumishi akusaidie
  3. B

    GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Hii ni kengele kuwa mdee hafai kuchukua jimbo tena, kawe haiko tena mikononi mwake
  4. B

    Kinyozi wa kike apandisha mashetani na kuzimia baada ya kugusa kichwa cha askofu Gwajima, aombewa na kuzinduka!

    Daah mpaka raha! Halmashauri ilifanya maamuzi mazuri kumpitisha Gwajima maana sio kwa maupako hayo aisee
  5. B

    GE2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

    Ninadhani wanaokosea ni nyie ambao mnashindwa kuamini maamuzi ya viongozi wenu wenyewe
  6. B

    GE2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

    Vikao vizito vya chama vimepitisha mtu mzito, hili litoshe kusema anastahili kushinda
  7. B

    GE2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

    Inaonekana kuna mengi ambayo huyajui, wanaKawe tunampenda mbunge wetu na tutachagua CCM.. Gwajima baba lao na CCM chama lao
  8. B

    GE2020 Wananchi wa Kawe mnafahamu jambo hili?

    Mtu haitaji kulipwa ili kusimamia haki na kweli,kawe tumechoka kudanganywa, gwaji ndio mbunge wa kawe
  9. B

    Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Kwa uelewa wangu jimbo la Kawe litafanikiwa sana kuongozwa na mtu wa Mungu, kura zangu kwa Gwajima siwezi kufanya makosa
Back
Top Bottom