Recent content by Bondinear

  1. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Mzee Kikwete ningekuwa Mbunge wa Mbeya ningefanya haya

    Kwani wapi nimesema wachukue ardhi ya watu mimi, mm nmetoa hoja kuwa mbeya inamaeneo mengi saaana ya wazi ya kiserikali mfano, Tanganyika pekers kule karibu na uwanja wa songwe, kuna kilimo eneo kubwa sana lile wanalima tuu mahind na ngano na wakiwa wametenga eneo dogo saana kwa ajili ya utafit...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Mzee Kikwete ningekuwa Mbunge wa Mbeya ningefanya haya

    Sio tuu kinajengwa chuo, I mean madarasa ya kusomea tuu, kulingana na speech ya kikwete ni kwamba anataka ajenge, chuo kikubwa cha afyae, hopital kubwa ya mafunzo Africa, mabweni ya wanafunzi, office za chuo na hospital pamoja na nyumba za wafanyakazi za kuishi... Kwa hekal hamsin ni ndogo saaana
  3. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Mzee Kikwete ningekuwa Mbunge wa Mbeya ningefanya haya

    Aiseee tunashukuru kwa kutuchana live 😂😂😂😂😂😂 lakini kwa saizi mji unakimbia saana kimaendeleo, kuhusu kuupamga mji, mji wa mbeya ulijengwa zamani saana kabla hata ya mipango miji kuwepo ndo maana n vigumu kuupangua lakini kwa sasa ukienda baadhi ya maeneo ambayo yanajengwa saiz kumepangwa vizuri...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Mzee Kikwete ningekuwa Mbunge wa Mbeya ningefanya haya

    Kumbuka kuwa kitu kinachowekezwa ni kwa manufaaa ya jiji la mbeya, hapo inajengwa hospital ya kisasa humohumo chuon, mzunguko wa pesa utaongezeka, wawekezaji wataongezeka, harafu ni chuo cha serikali sasa nan aiuzie serikali ardhi?????... Mi nmchanaga live tulia ackson ig huko ni upuuz huo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mbeya kuwa jiji la uwekezaji Tanzania

    Imeisha hiyooooo boss
  6. B

    JamiiForums Tanzania Barua Kwa Mheshiwa Rais: Tunaomba Utupe Ardhi ya Tanganyika Packers Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Tawi la Mbeya

    Lipo karibu au mkabala na uwanja wa ndege wa songwe pale
  7. B

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuhusu maendeleo ya jiji la Mbeya

    Issue ni technology boss ,,,, nyumba ta tofali za udogi na block ipi itabomoka haraka ? Na kwa nn ? Mi nmetoa mifano hapo juu ya baadhi ya nchi na mikoa ya tz ambayo inapitiwa na bobde na isio pitiwa na bonde mbona yote inaexperience matetemeko ? Mfano dar ,,tanga,arusha? Mbona wanajenga kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuhusu maendeleo ya jiji la Mbeya

    Aaaaaaa na we jamaaa ni mshamba sana pale pale airport mbona unabadili fedha kilichokushinda wewe ni nini,, kule mount loleza kuna hiyo bureau de change,,, kingine uwe unajitahidi kutumia mitandao vizuri saiv mambo yapo kidigital Zaid usijikute unajua kila kitu huwezi nqmbia ulizunguka mbeya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuhusu maendeleo ya jiji la Mbeya

    Hiyo study ya wapi boss ? Korea,japani,china wanapigwa na matetemeko Tena ya hatar wanayapa mpka majina kabisa lakini wanajenga majengo marefu zaid duniani,, mwaka 2018 limepita tetemeko mbeya, iringa, njombe, songwe mpka rukwa huko Tena kubwa la 5.5 mbona hatuoni maafa yoyote? Juzi juzi hapa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuhusu maendeleo ya jiji la Mbeya

    Good point boss
  11. B

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuhusu maendeleo ya jiji la Mbeya

    Sawa hiyo mitàa nlioitja haina hata service road boss yaan hata Moto ukitokea kuuzima ni kazi,, wàtu mnashindwa hata kuvuta kinyesi kikijaa,, mawazo yangu ni wachonge service road au barabara za mtaa ili kuwe na urahisi wa huduma za kijamii ,,,mtu anapatwa na tatizo la ghafla hapati huduma kwa...
  12. B

  13. B

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuhusu maendeleo ya jiji la Mbeya

    We unaifahamu mbeya yote wewe. Mitaa ambayo inahitajika kupangwa kuna, ilemi, airport, simike, mabatini, Isanga,, mwakibete ya mama John mabatini tuu pengine na mji wa mbalizi,, ukija uyole kidgo hakuna usumbuf Sana,,hakuna maeneo korofi ka hayo,,,hakuna kinacho shindikana chini ya jua mladi tuu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuhusu maendeleo ya jiji la Mbeya

    Bc uache maana naona ka unaumia unaposikia hii taarifa ya kufumuliwa na kupangwa upya jiji la mbeya,,,NB.. jiji la mbeya lilijijenga kbla ya kuanzishwa kwa hiyo mipango miji ko msizani lbda ilijitokeza tuu,, ka huamini subiri vitendo bc,,
  15. B

    JamiiForums Tanzania Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Kaa huko huko na usije mbeya tena maana tutakuibia wewe 😀😀😀😀😀😀😀
Back
Top Bottom