Habari zenu wana JF ninaomba mnishauri kwamba nilikuwa na mvulana wangu ambaye tulikuwa katika mahusiano kwa miaka kama sita na tukakbaliana kuwa hatutafanya mapenzi mpaka touane akanikubalia kwa upande wangu sijawahi kufanya mapenzi ata siku moja. asa ilivyofika mwaka jana akawa ananiambia kuwa...
Habari zenu wana Jf nimekuja kwenu kuomba ushauri kwani nilikuwa na mvulana kwa miaka sita na kuahidiana kutofanya chochote mpaka tuoane.
Mwaka jana alikuwa akiniambia yuko tayari kunioa lakini suala la kupima kwake halina maana na kukataa kwenda kupima kila nikimshauri ananijibu kuwa hataki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.