Recent content by Bona wa Bona

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya vyuo tayari. Semeni lingine tena tuone

    Poleni sana mliokosa mikopo ila kuweni na SUBRA msikate tamaa......
  2. B

    JamiiForums Tanzania Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    Shule hiyo ya kimamba naipata vizuri ni mpya imeanzishwa mwaka huu kwa upande wa advance na ina comb za sayansi tupu....(PCB,PCM na CBG) hipo kilosa kimamba..
  3. B

    JamiiForums Tanzania form 6 kufanya mtihani mwezi pili na si wa wa tano...?

    Mtoa taarifa tunaomba uhorodheshe vyanzo vya habari ulivyo tumia kupata taarifa hizi usilete huongo....ili na sisi tufanyie kazi..
  4. B

    JamiiForums Tanzania form 6 kufanya mtihani mwezi pili na si wa wa tano...?

    Aisee kuna washikaji wameshaanza kupanic kama kuna mtu anahufahamu zaidi ni vyema kutujuza ....
  5. B

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Usijali kijana post zitatoka tu mwez wa 6 kama tulivyo fanyiwa ss mwaka jana we vumilia tu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Unafundisha shule gani hapo Nachingwea.....??
  7. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano (Awamu ya Pili)

    Naombeni msaada kuhusiana na shule ya Nachingwea high school maana nasikia ndio mwaka wa kwanza huu kuchukua kitado cha tano
  8. B

    JamiiForums Tanzania Selection Kidato cha Tano 2014/2015: Majina yote haya hapa

    Daa!! nimepata dv 3.28 alafu nina C-7 na F-1 ya math lakini sijachaguliwa wakati kuna wanafunzi ambao nimemaliza nao wamepata dv 3 ya28,29,30 na wamechaguliwa inaniuma kwakweli!!! Napenda kuuliza second selection watazitoa kweli na itakuwa mwezi wa ngapi...??
  9. B

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2014/2015

    hawawezi wakatoa post kwa sasa wakati wengine wamepata dv1,2 and 3 na wanataka kwenda uwalimu,kwanza wapangiwe vyuo watakao kwenda kusomea uwalimu kisha watatoa post zote za vyuo na za advance msiwe na haraka hii ndio TZ bana
Back
Top Bottom