Recent content by bomaserikali

  1. B

    Dr. Magufuli unachekesha sana,mikwara inaonesha usivyo serious

    Magufuri hajui alifanyalo.anaongea porojo.kwani hakuna mkakati wa utejelezaji wa yale anayodanganya
  2. B

    Kutoka Mkendo: Mkutano wa kampeni wa chama cha Mapinduzi mjini Musoma

    Magufuri hafanyi kampeni bali ni disco.na pia hakuna serikali ya magufuri bali ni serikali ya Tanzania ya watanzania
  3. B

    Vyombo vya habari Tanzania vinatumika kuihujumu CCM?

    unapozungumza kwa kulaumu linganisha itv na tbc. ushabiki wa kijinga kama wako hauna nafasi.kama itv inakukera angalia tbc.we nyau au paka pusi
  4. B

    Udhaifu wa Lowassa kuhutubia; CHADEMA/UKAWA kazi mnayo!

    muhimu ni kuongea au kutenda mikakati ya utekelezaji.kama kuzungumza hata ww unazungumza sana lakini ni pumba tupu.
  5. B

    Jenerali Ulimwengu: Huu ndio mwanzo wa kifo cha CCM kilichobashiriwa?

    Kama huoni nguvu ya EL hata mama yako hajui nguvu ya baba yako.kama unabisha kamuulize mama yako
  6. B

    CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    wewe huna maslai na jambo lolote.hutaji fedha?basi ww ni ----
  7. B

    Sitasoma tena gazeti la Mawio

    usiponunua unadhani kampuni itakufa.ovyooo. unajua chanzo cha kuanzishwa kwa kanisa la luthelan? Unachukia mtu kwa kukaririshwa.thibitisha ufisadi wake bila kuacha shaka yoyote.
  8. B

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Tangu ulikuwa mwanasiasa au unadhani kuwa na kadi ya chama umeshakuwa mwanachama.ovyooooo
  9. B

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Makosa na dhambi zipo.lakini hazina nguvu pindi mtu awaye yote akigundua makosa na dhambi zake akaungama kwa siri au kwa uwazi.umesahau Bunge maalumu liliruhusu upigaji kura uwe wa aina mbili katiba ikapita kwa mdundiko.ikaishia palepale machinjioni Dodoma
Back
Top Bottom