Recent content by bomanyano

  1. B

    Natafuta mke mwenye HIV positive

    Ninajitokeza hapa nina nia ya dhati na kweli kutoka moyoni nimejitokeza hapa natafuta mke wa maisha mwenye HIV Positive, siitaji mpenzi naitaji mke! Napatikana Dar es Salaam, nina miaka 52, maji ya kunde, urefu futi tano inchi saba, slim body. Mke ninayemuitaji awe HIV Positive! Awe mweupe...
  2. B

    Hatari: Wanafunzi sekondari za Gogoni na Hondogo wanapanda bodaboda kwenda shuleni

    Si kumaanisha umbali ndugu Mob soma vizuri na uelewe kabla ya kuchangia hoja kubwa hapa ni usafiri husio salama wa bodaboda
  3. B

    Hatari: Wanafunzi sekondari za Gogoni na Hondogo wanapanda bodaboda kwenda shuleni

    Wanafunzi wa shule za sekondari za GOGONI na HONDOGO huwezi kuamini hawana usafiri salama wa kuwapeleka shule isipokuwa husafiri uliokuwepo ni bodaboda tu!! Shule hizi jirani ziko mkoa wa DAR ES SALAAM wilaya ya UBUNGO,KATA YA KIBAMBA mtaa wa GOGONI ziko umbali wa kilometa 2.5 kutoka barabara...
  4. B

    Nimechoka na upweke natafuta mke

    Kiukweli nimechoka na upweke na upweke unaniumiza sana,nipo hapa kutafuta mke awe mwenza wangu wa maisha mimi ni mwanaume wa miaka 48-55 mwanamke mwenye nia thabiti na mwenye ukweli karibu sana
  5. B

    Mwanamke asiyependa ngono namtafuta awe mke wangu

    Natafuta mwanamke hasiyependa ngono ili awe mke wangu wa maisha mimi miaka yangu kati ya 46 na 50. Karibu sana.
  6. B

    Natafuta mwanamke aliechoka na maisha ya Upweke

    Natafuta MWANAMKE Anaeumizwa sana na kusumbuliwa mno na MAISHA YAKE YA UPWEKE WA KUWA MWENYEWE PEKE YAKE NA SASA AMECHOKA KABISA NA HALI HIYO NA SASA ANAITAJI MUME WA MAISHA YAKE.Mimi pia nasumbuliwa sana na hali hiyo!hivyo kunifanya nimtafute mwanamke mwenye hali hii,ili awe mke wangu wa maisha...
  7. B

    Natafuta kazi ya kumhudumia mgonjwa wa ukimwi

    Habari ya hapa!!miaka yangu 48,jinsia mwanaume,nimejitokeza hapa kutafuta kazi ya kuhudumia mgonjwa/wagonjwa wenye ugonjwa wa Ukimwi mawasiliano yangu ni Bomanyano@gmail.com au simu namba 0656186502 ahsante
Back
Top Bottom