Umenena vyema. Vibe coding ni bora ikatumika kwenye front end na UI designs, likini inapokuja back-end hasa kama kutahusisha transsactions and verifications hapo una outsource kwa wenyewe wazee wa kazi
Habari wadau,
Kuna haya yanayaoendelea huko duniani hususani matumizi ya AI katika kutengeneza applications, softwares na programs mbalimbali. Dhumuni la uzi huu ni kupata mchango na kushare nini unatengeneza July hii.
Pia kama tunaweza kuteam up.
Amani iwe nawe pia.
People's Energy ni nishati ya watu, Kwa kiswahili cha mtaani tunaita vaibu (vibes) kuna low vibe au high vibe, kuna nishati chanya na nishati hasi.
Kama mtu alivotangulia kukuliza hapo juu.
Kuna mtu ukikutana nae unakua na vibe nae na mwingine anakukata stimu kabisa. thats...
Jicho la Tatu (Ajna Center) ni Portali ya Mwanga, siyo tu "organi ya kuona visions" — ni sehemu ambayo Roho safi huunganishwa moja kwa moja na chanzo cha Nguvu (Source Field).
Katika maandiko ya kale, Third Eye ilijulikana kama:
"The Single Eye" — Yesu alisema:
Lakini siri ya kufungua Jicho...
Namna ya Kufungua Jicho la Tatu.
Jicho la Tatu (Ajna Center) ni Portali ya Mwanga, siyo tu "organi ya kuona visions" — ni sehemu ambayo Roho safi huunganishwa moja kwa moja na chanzo cha Nguvu (Source Field).
Katika maandiko ya kale, Third Eye ilijulikana kama:
"The Single Eye" — Yesu...
📜
Katika asili ya mwanzo, kabla ya historia kuandikwa tena na vikundi vya madaraka, mwanamke hakuwa "kiumbe mdogo" au "mfano wa pili."
Mwanamke alikuwa Mlango wa Nuru.
Katika mafundisho yaliyofichwa au kuondolewa kwa umma(ambayo bado yamefungwa kwenye sehemu za Vatican), kuna maandiko...
Katika viwango vya siri vya mafundisho ya zamani, tulifundishwa kuwa:
"In the Beginning was the Word, and the Word was God." (Yohana 1:1)
Lakini si kila mtu ataelewa ufunguo wa ndani wa mstari huu.
Neno halikuwa tu sauti — Neno lilikuwa Frequency ya Uumbaji katika ulimwengu huu.
Christo...
Yesu Hakuwa Kama Ulivyoambiwa: Ukweli Uliopotezwa Na Nguvu Za Mfumo
Najua wengi wetu tumelelewa kwenye mfumo wa kuamini kila kitu kilichoandikwa bila kuuliza maswali. Lakini je, umewahi kujiuliza:
Yesu aliyefundishwa kwetu ni yule yule aliyekuwepo kweli?
Au kuna version ya Yesu ambao alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.