Recent content by Bokilo Jr

  1. B

    KATIBA Mpya haitamruhusu Profesa Ibrahim Haruna Lipumba kugombea urais, CUF mwafa

    Mashoga na Masagaji watampa kura Professor Haruna Lipumba kama Mashoga na Masagaji wa Marekani walivyompa kura nyingi Baraka Hossein Obama kwa kuwa sera yao ni sawa na ya Cuf kwani wao wanaamini HAKI SAWA KWA WOTE so kwa hili Cuf wakimsimamisha Lipumba mia kwa mia kwani watakubaliwa kuoana watu...
  2. B

    Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM)Wazidi kwenda kombo.....hii ni laana ambayo itawamaaliza!

    Yeah ngoja watifuane yetu macho maake vijana wengi wa siku hizi wamezidi,yaani mtu unamkuta anang'ang'ania madaraka kwa gharama yoyote ile akijifanya anataka kusaidia kumbe njaa ndizo zinawafanya wakomae na sio uongozi hasa hawa Maccm Lol yaani wei wote kutoka vijana wao hadi wazee wao halafu...
  3. B

    Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Kama ningekuwa mie Ben wa Saanane kamwe nisingejibizana na hawa Wafu kabisaaa kama ujuavyo Ukibishana na mgonjwa wa akili wakati unafahamu fika jamaa ni mgonjwa wa akili na hata watu wengine wanafahamu so wewe utaonekana ndio mgonjwa zaidi Kamanda Ben Wa Saanane acha wafu wazikane wenyewe...
  4. B

    Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Tanga kunani paleeee eeee Tanga shame on you Tanga peoples kumbuka Maccm ya leo hii ukiacha ile ya Mwalimu ndio wameichakachua Tanga hadi leo hii imekuwa nyuma kimaendeleo kipindi hicho tukiwa watoto miaka ya 90 wakati huo nasoma darasa la tatu kama sikosei ilkuwa Tanga atleast jinsi miaka...
  5. B

    Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Hapana Kamanda nimesoma Mikoani ila si hapo..namba tu nisiitaje hiyo shule huenda jamaa yuko humu so atajisikia vibaya na week end hii.Pamoja sana Kamanda Ben Wa Saanane we dont need takataka kwa Chama chetu kama mtu kachoka au kaahidiwa kugombea Urais huko NCCR aende tu,We dont care about the...
  6. B

    Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Hapo kama ulivyouliza swali lako bila kumumunya maneno sijui aaah zikipanda juu au zikishuka chini hadi mitaa ya mara Sahare mara Makorora mara Manzese jibu ni kwamba namwamini Dr Wilbroad Slaa na Kamanda Mbowe 100% kwa kuwa hakuna mtu/watu wa kuwarubuni iwe kwa pesa au kwa kauli taarifa ni hayo...
  7. B

    Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Mkuu kusema kweli Zitto sio mtu wa kumwamini inawezekana yeye mwenyewe ndio anajiwekea nakala za barua zake humu pia nina wasiwasi mkubwa yeye ndio Bukoba Boy iweje aje haraka hapa na kusema mtu yule yule aliyeweka ile movie kwa youtube ndio huyo huyo aliyeweka barua yake,Hapa mie huyu jamaa...
  8. B

    Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Powa Kamanda umeweka ukweli wa mambo hicho kirusi ni cha kumulika sasa na sio kesho,Jaribuni kukaa wewe Zito,Dr Slaa,Mh Mbowe na wale viongozi wengine wakubwa wakubwa then ongeleeni jambo tu la kawaida then likitoka nje ya pale lmpige kura za siri nani kalitoa kati yenu hapo then hiyo kura...
  9. B

    Vijana, msifanye makosa kama niliyofanya. Kujiunga na CHADEMA ni sawa na kucheza karata tatu!

    Kumbe wewe na kujiunga na Chadema ulikuwa na lengo sasa we know ndio maana kuna jamaa kasema wote walihamia kutoka Chadema kwenda CCm wanaonekana sasa kama wana laana kwa jinsi wanavyojidhalilisha sasa huoni hapa umetupa ukweli kwamba ulifikiria ukiwa Chadema basi utamaliza shida zako zote kama...
  10. B

    Live on TBC1: Hotuba ya Rais mwisho wa mwezi Machi 2013

    Kikwete na chama chake ndio walianzisha hizi chokochoko za Udini kama mtakumbuka hata pale Igunga kwenye uchaguzi mdogo wa Ubunge waliwatumia Bakwata na kuwaambia Waislamu wasikipigia Chadema kwa kuwa kilimkamata mkuu wa Wilaya ambaye alikuwa akiipigia debe Ccm pia ndio rais wa kwanza Tanzania...
  11. B

    Picha za Mtuhumiwa wa mauaji ya Padre Zanzibar

    Aisee hawa jamaa ni balaaa yaani mchoro umeenda sawa kabisa na jamaa muuaji kweli FBI ni kiboko.
  12. B

    Dep DCI Mngulu hakumjibu vibaya Pengo - Wahalifu wana akili kama polisi, tusijenge chuki kwa Polisi

    By Chris Lukosi 31st August 2012 17:10 - Ndugu zanguni, Kama mjuavyo vuguvugu la mageuzi limepamba moto nyumbani na kila kukicha chama chetu kinazidi kujizolea umaarufu kwa sababu ni chama pekee kinachopambana na mafisadi bila ya woga.Kila kukicha Viongozi wetu wa taifa wanazunguka nchi nzima...
  13. B

    Bashe anusurika kutekwa

    Bashe wewe na Boss wako Rostam si ndio mnawapangia waandishi au wahariri waandike nini!!Kama juzi badala ya kudeal na issue ambayo iko bado mbichi mnabadilisha na kuleta vitu vya kupikwa ati Zitto Zuberi Kabwe alitakiwa afe sasa naona inakula kwako kaka sasa unalo basi nakuomba sana kwa kuwa hii...
  14. B

    Dep DCI Mngulu hakumjibu vibaya Pengo - Wahalifu wana akili kama polisi, tusijenge chuki kwa Polisi

    Kweli wewe ulikuwa Cop naamini kupitia sentensi yako hapo juu ati Imeniuma sana jinsi watu wanavyopotosha wananchi teh teh teh kweli umechoka akili ss kuwa Cop tena wa Tanzania Lol ndio maana mnakuwa wezi ati wanalinda mali za wananchi na kuwalinda ili wapate usingizi yaaya hawa police...
Back
Top Bottom