Recent content by Boi Manda

  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 David Silinde: Samia ukipata kura chini ya 95% unipige bakora mbili

    Bakora ziko nyingi anataka kupigwa bakora zipi asema asione aibu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Mbona Kampeni za mwaka huu zimedoda sana

    Unauliza embe Kibada au makofi Polisi au kikoi Pemba?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hashauriki au ana washauri wabaya?

    Kwa katiba ipi na tume ipi ya uchaguzi? Ili analosema Mwalimu litawezekana tu kama patipatikana katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hashauriki au ana washauri wabaya?

    Ishu ya katiba mpya Mkwele Kikwete ndio alikorofisha kwa uoga wake ile rasmu ya Warioba watu wakamtisha wakamuambia chama kitakufia mikononi mwako akaogopa katengeneza speaker wa wa bunge la katiba Samweli Sita wakavuruga mchato wote Kikwete alikuwa na nafasi kuweka regency ta kuwa rais...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hashauriki au ana washauri wabaya?

    Aziburiwe masikio ili asikie
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hashauriki au ana washauri wabaya?

    Msikubali uhuni wa wachache
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hashauriki au ana washauri wabaya?

    Mkuu umeongea kimafumbo sana na mifano migumu umetuacha hewani funguka vizuri inaonyesha una madini mengi muhimu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Generali ‘Sani Abacha’ wa Tanzania anasafisha njia vizuri sana kwa ajili ya mwanae 2030. Mji wa Mombo Tanga umepotea

    Kama hii master plan ikifanikiwa hali wakati huo itakuwa mbaya zaidi ya sasa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna kuhama mtu chama Akishindwa uchaguzi- Yerico Nyerere

    Hata Mbowe naye alitengenezwa na waliotangulia kila zama na kitabu chake wahenga walibaini
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna kuhama mtu chama Akishindwa uchaguzi- Yerico Nyerere

    Kazi kwelikweli
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna kuhama mtu chama Akishindwa uchaguzi- Yerico Nyerere

    Mbona huo msimamo wa kipuuzi boss wake Mbowe ndio muasisi wake?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna kuhama mtu chama Akishindwa uchaguzi- Yerico Nyerere

    Mieleka siasa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna kuhama mtu chama Akishindwa uchaguzi- Yerico Nyerere

    Unamaanisha nini hapa?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna kuhama mtu chama Akishindwa uchaguzi- Yerico Nyerere

    Lisu kawapiga mchana kweupee wamebakia hawaamini macho yao kweli Lisu sio wa kawaida 😄 🤣 😂
Back
Top Bottom