Recent content by bodaboda2

  1. bodaboda2

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

    Alisema police ni wapumbavu, wamempiga mabomu ila hajabu mkutano alifanya na police wakamsindikiza😂
  2. bodaboda2

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa shule ya Sekondari Scolastica, Hamis Chacha aliyeua Mwanafunzi, ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Wazazi bado wanaipenda balaa, maana ndiyo shule bora Kilimanjaro.
  3. bodaboda2

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Arusha, Jumanne Mjusi Mbaroni kwa ujambazi

    Yaani ukishakuwa kada wa CCM (haijalishi Wewe ni mwizi ana nani....) utakukumbatiwa na CCM kwa maovu yako yote. Ila uwe mpinzani shughuli unayo! Unakumbukwa TWAWEZA walimsifiaga jiwe kipindi fulani kuwa % kubwa ya idadi ya watu wanamkubali? Jiwe alifurahi sana, ila TWAWEZA waliposema umaarufu...
  4. bodaboda2

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Arusha, Jumanne Mjusi Mbaroni kwa ujambazi

    Dawa imekuingia😂😂
  5. bodaboda2

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Arusha, Jumanne Mjusi Mbaroni kwa ujambazi

    Kumbe CCM ni majizi mpaka wa kuvunja?🙄 Haya mkamtoe kada atusaidie 2020, kuiba kura na kuzuru wapinzani. Kweli CCM (chama cha majizi) nchi hii
  6. bodaboda2

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: RCO wa Ilala Dar SSP Mbise, afariki kwenye ajali Wilayani Mwanga

    Leo nae kaingia kwenye anga za scania! ogopa machozi ya watu aisee
  7. bodaboda2

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: RCO wa Ilala Dar SSP Mbise, afariki kwenye ajali Wilayani Mwanga

    Malipo yake ndiyo hayo
  8. bodaboda2

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: RCO wa Ilala Dar SSP Mbise, afariki kwenye ajali Wilayani Mwanga

    Kuna watu wakifa roho hainiumi sijui kwanini! RIP Reginald A. Mengi. Wengine tutaonana baadae.
  9. bodaboda2

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

    Ewe jiwe wanatekwaa ndugu zetu wengine wawapotezwa kisa kukosolewa!! Unawabambikia wapinzani kesi kila mara ili huiridhishe roho yako!!. Ila mungu atakufedhehesha siku moja.Kumbuka hautaishi milele,😄😄😄😄 machungu unaowapa watz wenzio Mwenyeenzi Mungu atakupa Mara mia pamoja na genge lako lote la...
  10. bodaboda2

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

    Jiwe hataki kukosolewa. Hamna mwingine zaidi ya jiwe
  11. bodaboda2

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

    Kwahiyo akikejeli ndiyo ametukana? Nyie ndiye wapuuzi msiotaka kukosolewa😄😄😄😄 mkikosolewa mnatukanwa!!😩😩 kiongozi lazima uwe mstahimilivu
  12. bodaboda2

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mtu/Watu wenye nguvu walipanga kuniua kwa namna ambayo ingekuwa fundisho kwa wengine

    Kwani ni zake, huyo wa kumlipa??kufa hatakufa ila cha moto mtakiona
  13. bodaboda2

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu akutana na Mkuu wa Kanisa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo

    Dishi limeyumba
Back
Top Bottom