Kama Maalimu amaechoka na hachaguliki tena, mbona hiyo CCM yako haijawahi kumshinda huyo Maalimu aliyechoka katika uchaguzi mkuu?. Au unajitia upofu na upumbuvau kujifanya kwamba umedondoka leo kutoka sayari ya Mars na hufahamu yaliyojiri huko Zanzibar? Shame on your buttocks!
KWahiyo yeye kuwataja watu hadharani kwamba ni wafanya biashara ya madawa ya kulevya kwa tuhuma za UONGO ilikuwa sahihi kwako?
Haya mayala (njaa) yakihamia kwenye ubongo ni SHIDA!
Kweli ujinga ni mzigo, badala ya kuwasomea Ahla badri BAKWATA waliomuuzia Manji viwanja, nyinyi eti mnamsomea mnunuaji ambaye ni Manji. Sidhani Mungu ni mpumbavu kiasi hicho!
Katika dunia ya leo ya karne ya 21 ya sayansi na teknolojia, kama rais anaweza kumteua STD VII, simply kwasababu eti uteuzi wake hauwezi kuhojiwa na mtu/chombo chochote. Hao STD VII ndiyo awategemee kuifanya nchi ya viwanda, basi huyo Rais atakuwa na matatizo makubwa kuliko hao akina Kayumba aka...
Ujin.ga nao ni kipaji. Mtu unamtuhumu anajihusisha na madawa ya kulevya. Unautangazia umma kwamba mtu huyu anahitajika Polisi kwaajili ya mahojiano na Polisi kuhusu kujihusisha kwake na biashara ya madawa ya kulevya.
Baada ya wiki 2 mtu huyu anakwenda Polisi kwaajili ya mahojiano. Baada ya...
Wazungu husema CHARITY BEGINS AT HOME. Kabla ya kumtaka Spika kuwapima wabunge wote kama wanajihusisha au walishawahi kutumia madawa ya kulevya Makonda mwenyewe angeonesha mfano kwanza kujipima yeye lakini pia kuwapima wafanyakazi wake wote walioko kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.