Recent content by bob killer

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli kwa Kiingereza kwenye ziara ya Waziri Mkuu wa India

    Mnashindwa kumuelewa tu rais hata kwenye mikutano mikubwa watu wanaongea lugha za nchi zao then kunakuwa na kitafusiri ambacho kinabadilisha lugha so bado yupo sahihi
  2. B

    JamiiForums Tanzania CV ya Goodluck Mlinga, mbunge wa Ulanga Morogoro

    itafute google kwani ipo na vile vile kwenye page ya bunge ipo hapo sio hiyo tu ni za wabunge wote
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kumekucha CCM: Vigogo wajipanga kugombea Uenyekiti CCM Taifa

    mwenyekiti wa sasa anogopa kutmbuliwa kwani kama nina kumbukumbu viuzuri JPM alisha wai kusema kwamba ccm ya JMK inawanachama ambao ni wanafiki sasa akahaidi ni mara kumi abaki na watano ambao sio wasaliti sasa wanaogopa kumpa rungu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    hizi siasa za bongo zimegeuga kama makundi ya mzuki wa bongo, kesho tena utasikia slaa anataka kurudi chadema
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ole Medeye akiri wabunge wa CCM wanapewa nini cha kuchangia bungeni

    jamaa kashakua ndumi lakuwili huyo?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amnyooshea kidole Mwigulu Nchemba

    kamshauri vizuri waziri lakini je yatatiliwa maanani
  7. B

    JamiiForums Tanzania Teknolojia hizi zimetushinda?

    police wa wetu technologia kama hizo hataki kuzitumia kwani itawapunguzia miaanya ya rushwa then angaliaa tu hizo tochi walizopewa matumizi yake wanajificha porini sehemu ambayo hakuna kibao cha kulimit speed then unaenda kusimamishiwa mbele unaambiwa ulikua unakimbia speed ya juu nionyeshe...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Toyota Alteza For Sale 4.7 ml fixed

    mjomba nimechukua namba
Back
Top Bottom