Recent content by Bob Isaac

  1. B

    Kifo cha CCM kimetimia

    Chagua Magufuli mara Serikali ya Magufuli itakua ya viwandaa.. siyo Chagua CCM tena anajua ukiwatajia watu CCM wanaondoka kwenye Mikutano.. ha ha ha haaa... Mwenyekiti kaua chama chetu CCM.
  2. B

    UKAWA waongea na Waandishi wa Habari kuhusu Utafiti wa TWAWEZA

    Twaweza wamefadhiliwa na Maccm hakuna cha utafiti wala nn maccm yanatapatapa kwenye kambi yao ya kampeni kimenuka sasa wanatafuta tafiti za kujipa moyo... hatudanganyikiii.tuonane October 25 Ukawa hawatahangaika na hizo tafiti uchwara.
  3. B

    Wamenunuliwa

    Uharisia gani uliyo uona ww Hao twaweza mbona issue yao imejulikana wazi ndugu yangu upo Dunia gani mulize January Makamba a.k.a JM au soma Mawio la week iliyopita utapata habari zote hata kabla hao Twaweza hawajatoa huo upuuzi wao ilishakua wazi. CCM wanahaha kujiokoa lakini kilichoandikwa na...
  4. B

    Lowassa kwa hizi ahadi basi ana mchoko wa akili na hafai kuwa Rais

    Hayo uliongea ww nyumbani kwako, Lowassa aliongelea mashehe wa Zanzibar kuwa wanasheria watangalia upya mafaili yao kama walifungwa kwa ushahidi uliokamilika ndiyo watu waliokuwa kwenye mkutano wakasema na Babu Seya ndiyo akakubali kuwa hata huyo watafuatilia, ongea vitu vya kukusaidia cyo...
  5. B

    Prof. Mark James Mwandosya kuhamia upinzani?

    Nadhani umekosea kidogo tu, sahihisha hapo ni kwamba wezi hawawezi kuhama ccm sababu wanaogopa kushtakiwa ila wakibaki ccm wataendelea kulindwa coz ccm ndiyo pango la wezi, wafi wasio na shaka kama Lowassa na Sumaye wamehama na hawajafanywa chochote.
  6. B

    Humphrey Polepole, vipi Katiba Mpya huihitaji tena!?

    Mbona una hasira kaka vipiiii
  7. B

    Lissu amepata wapi ujasiri wa kumshambulia Dr. Slaa na familia yake?

    Dr Slaa ni mbinafsi sana, ameshindwa kujizuia kahongwa kilahisi sana, Chadema hatukumjua mapema kumbe alikua anakihujumu chama mda mrefu sana hafai hata kuwa jirani yako mnafiki mkubwa kanisa langu Catholic hawakukosea kumfukuza hawezi kuwa mchunga kondoo wa Bwana.
  8. B

    ITV huu sasa ni upendeleo wa wazi wazi kwenye habari zenu

    Magufuri yeye vipaumbele vyake ni barabara tu kila anakokwenda nitawajengea barabara hata kwenye ziwa nyasa ameahidi atajenga barabara juu ya ziwa hana tofauti na mkuu wa kaya alikua anahidi meli kila sehemu, bara bara kashindwa miaka yote 15 amekaa wizara ya ujenzi unahidi leo tumeshtuka.
  9. B

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Mmmmh.. namba ipi ya kuisoma ndugu yangu imeshachokwa hiyo imepitw na wakati kama shart limejaa vilaka halifai yena safari hii ni shart jipya tu..
  10. B

    Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    Hebu jamani someni report ya Mwakyembe inamumbua mwenyewe hakuna sehemu hata moja alisema waziri mkuu kausika moja kwa moja na rechmond, alisema waziri mkuu atapima mwenyewe uzito kwa sababu watendaji walio chini yake wanahusika na mkataba huu mbovu tena akaongeza kuwa mambo mengine ameyacha kwa...
  11. B

    Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

    Kumiliki Jukwaa kwani umeambiwa Bongo flava ile mtaweweseka sana safari hii hamna mpya..
  12. B

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Huyu mzee Warioba ndiyo maana Makonda alimchapa kibao, Ukawa wameipigania rasimu yake ya katiba hadi wabunge wa Ukawa wakaacha posho zao leo nimemuona hapo jangwani anaongea utumbo mtupu...Huyu mzee sijui kajichanganya vipi.
  13. B

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    pole pole kapoteza mvuto tena kwa uma wa watanzania, amesahau kama UKAWA walijitoa kwenye Bunge la Katiba kwa ajiri ya kutetea rasimu yao na Walioba leo kawageuka yupo upande wa kijani. Hela kitu kibaya sana.
  14. B

    Ismail Jussa: Kwanini naunga mkono Lowassa Kukaribishwa UKAWA kuelekea uchaguzi Mkuu

    pole kwa kuchoka ndugu yangu siasa ni dynamic unatumia udhaifu wa adui yako kupata ushindi, ni kama mpira kuna mchezaji anaweza asifanye vizuri lakini mchezaji huyo huyo akahamia team nyingi akafanya vizuri kulingana na mfumo atakao ukuta huko alikohamia so I hope atafanya vizuri sana Chadema...
  15. B

    Hongera sana Juliana Shonza kwa kupita kwa kishindo ubunge UWT Songwe

    Hana jipya huyo Juliana, alijimaliza kitambo sana yaani.
Back
Top Bottom