Habari za muda wapendwa,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi ni mjasiliamali niko mkoa wa Dar es salaam naomba kupata a,b,c za namna yakufanya hii biashara ya kuuza dawa yaani famasia. Ni nini kinatakiwa, vigezo na Je, kwa wale wenye experience initial cost (capital) inaweza kwenda mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.