Yaani siku hizi mwanaume kama huna hela wanawake wazuri na warembo utabaki kuwaita mashemeji tu... hivi sababu hasa ni nini ... ni ulimbukeni wa wanawake au ni ugumu wa maisha!?
asante sana kaka mi mwenyewe nina mipango ya kufanya shughuli binafsi... hizi kazi ni risk muda wowote unaweza kukatisha malengo ila najitahidi niweze kupata kamtaji kidogo tayari nimenunua shamba uvinza maeneo ya chakulu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.