Office ya msajili ipo bize kupambana na CHADEMA kuinyima ruzuku, kujfingulia kesi za mchongo , kuwanunua baadhi ya makada kwenda Chauma, kuchochea Kesi ya uhaini Kwa. Lisu
Nenda wilaya Karatu kata ya Mangola gorofani fuata barabara ya kwenda Endabash karibu na Mto Baray utawakuta , au kama una usafiri wako twende nikupeleke hadi kambini kwao
Mr. JK tuambie ukweli kama marekebisho yalifanyika tangu 2022 kwaniini wagombea wa upinzani Wakati wauchaguzi wa serikali za mitaa 2024 Wameenguliwa kinyemera
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.