Maisha ya Tanzania in average sio magumu sana kama huko ulipo, huku kodi ni chache sana hivyo Unaweza fanya vitu vikubwa kama ukituliza akili, kuna fursa nyingi Kama kuuza mazao ya chakula, kujingiza katika Biashara ya usafirishaji, uvunaji wa miti ya mbao, uvuvi wa kisasa,biashara ndogo ndogo...