Recent content by Bnoke Matiku

  1. B

    JamiiForums Tanzania Singasinga Ana haha

    Hapo ndio umeongea nn!!?? Unamtenganishaje Zitto na Kafulila!!!???
  2. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe awabeza UKAWA na kuwaita "Wasaka Tonge"

    Kila siku hamuishi kumtajataja, kweli ZZK ni kiboko yenu misukule!!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini nitamuunga mkono dk hamisi kigwangalla mwenyekiti wa tamisemi kugombea urais 2015

    Dafi njaa mbaya, lazima umpambe bosi wako ili mkono uende kinywani. Unajua ukweli kuwa mgombea wako hauziki, hata jimboni kwake hana uhakika wa kushinda tena!!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Dr. Bana, Prof. Shivji, Prof. Kitilla na UDSM katika kuliangamiza Taifa

    Ila vilaza kama wewe ndio waliofanikiwa!!??
  5. B

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila Mkumbo na Udhaifu wa upinzani Tanzania

    Kitila atendewe haki, huwa anaikosoa CCM na wapinzani pia. Tatizo watanzania tunapenda zaidi kusikia vile tunavyovitaka sisi. Tukubali au tukatae Kitila ni mtu potential sana ktk nchi yetu!!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mwl nyerere !

    BARUA YA WAZI KWA MWL NYERERE!! Ndugu Kambarage, Nakusalimu katika jina la Tanzania. Nchi ya maono na busara yako, nchi uliyoifanya kuwa kimbilio kwa wageni na wenye shida huko kwao. Nchi uliyotamani siku moja iwe ni Taifa kubwa linalo thamini kila kiumbe hai akaaye katika uso wa dunia...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM, CHADEMA (Sehemu ya Pili)

    Acha ujinga wewe, Mzee Mandela alikuwa mume halali wa Graca. Tukiri ukweli tu kuwa babu kwenye suala la mahusiano yake haliko vizuri.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waraka wangu kwa viongozi, wanachama na wapenzi watukufu wa CHADEMA

    ndo ujinga wenu, mnapewa ushauri wa maana mnaishia kukejeli watu! Mbowe naye ni tatizo ktk chama.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Akili kubwa kwenu ni kuruhusu gongo na kwenda na vimada dubai! Hakika na kweli akili ndogo kuongoza kubwa ni janga la kitaifa.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Amina mkuu! Wahafidhina lazima tupingane nao kwa kila njia, hakuna mwenye hatimiliki ya CDM hiki ni chama cha watanzania wote. Hatuhitaji madikteta wanojivisha joho la demokrasia.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msichana jasiri katika siasa mwaka 2013

    Nimependa hiyo!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kifo cha Dr.Mgimwa zisiwe habari za kufa kufaana ndani ya CCM,Ubinadamu.Nimekumbuka hili

    Jamaa kwa kudandia matukio ni balaa! Vp leo huna shutuma kwa dogo ZK?:A S 13::A S 13:
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mhe Mbowe Kigeugeu wa siasa au ni Limbukeni wa siasa.

    Mmeanza kuju misukule ya kina babu. Yuko wapi mida 8 aje kumtetea mkuu?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mhe Mbowe Kigeugeu wa siasa au ni Limbukeni wa siasa.

    Mbowe hajitambui, leo Sumaye ni msafi? Kweli Mbowe ni janga la Taifa:A S 20::A S 20:
Back
Top Bottom