Ndg yangu Nape najua una uchungu sana na Ccm uliyoipigania
Kosa lenu/lako ni chuki mliyokuwa mumeibeba muda mrefu na vinyongo vya ajabu kwa bahati nzuri unajua rafu zote na hira zako
Sasa unajuta, bila unafiki hukumpenda Magufuli na bado humpendi
Usipokuwa makini 2020 utasaulika kabisa labda...
Kwa kifupi sana
Baba yake alikuwa ni moja ya wazee aliyekuwa na uwezo Kwa miaka hiyo kijijini
Baba yake alijenga nyumba nzuri y'a bati
Alikuwa na mitumbwi na nyavu za kutosha
Nasisitiza namfahamu na hayo ni majina yake halali
Umusolopogasi watu humu jf ni watulivu sana
Tulia kijana
Alikuwa mchezaji mzuri Sana wakati tukicheza mpira(sembo)
Baadaye Kama sikosei alikwenda Kwan marehemu Kaka yake hukoTabora
Naishia hapo usinitafute tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.