Recent content by bmbwiga

  1. B

    JamiiForums Tanzania Chiligati: Acheni kuandika habari za wanachama wa CCM kujiunga CHADEMA

    Acha waandike tu kwani zote ni habari tu wanazotakiwa kuhabarishwa wanajamii,sio mbaya hata wakiandika asubuhi,mchana na jioni
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hoooooooooooodi

    @Gabmanu yaonekana wewe ni mikimbizi umekaa kisharishariiiiiii,huwezi kumkaribisha mgeni namna hiyo,au wewe ni mlinzi hapo mapokezi?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hoooooooooooodi

    @Gabmanu kama nikijisikia kama nilikotoka,naona bora nirudi tu huko,huenda huku hakuna uahueni
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hoooooooooooodi

    Aksanteni saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hoooooooooooodi

    Hi! Natumaini wote muwazima wa afya tele. Nifungulieni mlango nami nipate kuwa mwana jamii katika jukwaa hili.:lol:
Back
Top Bottom