Recent content by bm_fireboy

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimefungiwa Account yangu ya Facebook

    Msaada namna ya ku- unlock banned Facebook account Wakuu salamu. Kama heading inavyojieleza hapo juu, account yangu ya Facebook imefungiwa kutokana na kuhisiwa kuwa mimi ni hacker kitu ambacho hata sifikilii. Ilitokea baada ya kubadili profile picture yangu na kuweka ya black hat (hacker)...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurestore akaunti ya Facebook iliyodukuliwa (hacked Facebook account)?

    msaada jamani, account yangu ya facebook imefungiwa tangia mwezi february hadi sasa.Nimejaribu kulog in na kuifungua bado sijafanikiwa. sababu za kuifungia ni kitendo cha kubadili profile picture yangu ya mwanzo na kuweka ya hackers(black hat)NB: me sio hacker hila nilipendezewa na hiyo picha...
Back
Top Bottom