Recent content by bluejoy

  1. B

    Kwanini kila ninaempigia simu Tanzania kwa normal international minutes hapatikani?

    Habari wakuu, Aisee kila ninaempigia smu Tanzania simu hazipatikani , na si kwa whatsap call hapana ni kwa normal international minutes Hivi ndo shida ni mtandao kuzimwa au ndo hakuna umeme simu zao wote hazina. Charge??
  2. B

    GE2025 VIDEO: Samia aibuka, akabithiwa cheti cha ushindi. Huyu mtu anatudharau sana Watanganyika

    Dawa sasa ni ku deal na hao wateeule one by one...wataogopa snaa hawatarejea ilaa bila ivo kinachofataaaaaaaaa ni zaid ya maumivu Hao wanaotudharau wote hawastahili kua hai tena
  3. B

    Watanganyika mliopo TCRA simameni kuiokoa Tanganyika kuangamizwa na Wazanzibar. Rudisheni mtandao

    Kufungiaa mtandao pekee zaid ya. Siku 3 ni zaidi ya ukandamizaji Hawa watu wanawazaje nani anawashaurii wafaanye haya Mbona wanawaza. Kikatili sna Wanajua wangap wanawavurugia mambo yao sabbu ya kukosa mtandao
  4. B

    Watanganyika mliopo TCRA simameni kuiokoa Tanganyika kuangamizwa na Wazanzibar. Rudisheni mtandao

    Daah ila hii nchi hii.....wanatufanyia ushenzi huu sababu wana nguvu Watuwashie mtanndao wengine tupate tu mawasiliano na familia zetu ziliopo nje. Ya. Nchi
  5. B

    Tetesi hizi: Mama mzazi wa Spika Tulia yupo salama?

    Kama wao walikua. Hawana huruma na familia za wenzao kwann wao waonewe huruma...
  6. B

    Nafikiri Kuna haja ya kutafuta kwanza suluhisho la kikundi Fulani kukata internet wanavyojisikia wao nchi ni wananchi wanatuficha nini

    Hapa tulipofikia bora iwe no return hata watuuwe million na zaid ila huuu upuuzi uishe.... Hivi wanatuchukuliaje hawa watu
  7. B

    Amani siyo kuwa na pesa bali ni kuwatendea wenzako Haki. Huyu mama mwisho wake utakuwa mbaya sana

    Nilikua nalihurumia sana hili limama ila kwa hapa tulipofikia...lolote limkute
  8. B

    Nafikiri Kuna haja ya kutafuta kwanza suluhisho la kikundi Fulani kukata internet wanavyojisikia wao nchi ni wananchi wanatuficha nini

    Kumamazao wameniuzi sana utumbo wao wanasababisha tuliopo nje ya tz kushindwa kuwasiliana vzur na familia zetu Mbwa wakubwa hawa
  9. B

    Tetesi: Watu 700 wameuliwa so far?

    Nipo kwenye group fulani zinatumwa video za wahanga zakuogopesha....kuna mmoja kapigwa risasi kavoboka sura Watu wana. Videoo nying sema walipozima mtandao wamebinya sna taarifa
  10. B

    Hivi ni kweli hakuna ndege inayoingia na kutoka hapo Dar es salaam ??

    Asante kwa maana hio rwandair bado wannaonekana wanafanya safar za bongo...hawajacancel...nitamjuza
  11. B

    Hivi ni kweli hakuna ndege inayoingia na kutoka hapo Dar es salaam ??

    Duuh, haatari....jamaa anataka kuja na rwandaair anasema hawajatangaza zuia la kutokuja tz kwaiy ndo alitaka afahamu zaid
  12. B

    Hivi ni kweli hakuna ndege inayoingia na kutoka hapo Dar es salaam ??

    Habari wakuu , Poleni na maandamano yanayoendelea Mimi ninataka kujua kua ni kweli kma watu wanavyopakaza mitandaoni kua hakuna ndege zinazoingia na kutoka tanzania kwa sasa ? Maana kuna mtu anataka kujua ndo kaniomba nimuulizie Shukrani sana
Back
Top Bottom