Siku hizi wanausalama hata ukiwa na mgari mbove wewe weka tuu li bendera la chama chakavu una vuka vizuizi bila shida kwani unaonekan na wewe uko kwenye msafara wa mgombea
Kama wewe unavyojificha nyuma ya keyboard na ID yako feki,
Huna uwezo hata wa 0.001% kushindana na Polepole au Ngwajima manake wale wanatoka hadharani na wanaongea vitu vya ukweli hadharani na wahusika taarifa zinawafikia na anataja watu kwa majina yao bila woga
Mkuu uko sahihi, ila ili kutoleta mazara kwa raia hii vita ifanyike mitandaoni kabisa manake kinachatakiwa ni kuwaondoa wananchi kwenye zile fikra mgando na propaganda za kichawa
Mitandao now days ina nguvu sana na ukizingatia kadri siku zinavyo enendelea kila familia iataenda kuwa na simu...
Kabisa, though ana mapungufu yake ila akifanya na watu walionyooka kama Lissu, kwa kweli haki itatawala na kila mtu ataipenda serikali
Watu wapatie haki zao tuu, mengine yote yatakuja yenyewe pale ambapo haki inatawala, means watapata maendeleo vile hakuan kiaongozi atapatikana kwa nyia za rushwa
Huyu Bwana angetakiwa kuwa ndo Mkuu wa kile kitengo cha TISS kabisa,
Yuko na uelewa wa kutosha wa kila mienendao ya kila alieko FISIEM na anaonekana anauelwa mkubwa kuliko hata wale ambao ni wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
Mwandishia wa hiyo barua si ange kunywa maji kidogo, naona wakatia anaiiandika alikuwa anatweta kwa hasira kiasi kwamba Bi Monalisa ataendele kuwa mwanachama hadi 28/10/2025
Mie Ardhi ni Bora ununue kwa hizi real estate companies , hizo za hamashauri huwa wnatangaza ki formality tuu hakuna kitu vyote wanakumbatia wao ili waje kupiga baadae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.