Habarini wana jumuiya...naombeni msaada wenu nikitaka mafuta ya alizeti kutoka kiwandani kabisa wanapokamulia hayo mafuta ntapata kwa bei gani aidha kwa litre 5 au 20..na kama kuna mtu ana shughulika na masuala haya kiwandani aniachie mawasilino
It's 1:15 pm on a blistering hot Wednesday afternoon in Dar Es Salaam. Patrick Ngowi is seated in the lobby of the Hyatt Regency Hotel, patiently waiting for me to keep up with our lunch appointment. We had planned to meet for 12:30, but I had lost track of time.
"You are finally here, my...
habarini wana ndugu... naomba msaada wenu..kwa pale nyegezi SAUT university ni biashara gani iko poa kuanzisha kwa eneo kama ile. japo kuna competitors wengi hasa kwa upande wa vyakula ntajikita vipi na changamoto hiyo..asanteni
habarini wana ndugu nina tatizo kidogo katika uuzaji wa used spare za magari mwanza. hali hio ilisababishwa baada ya mzee kuugua na kushindwa kuendelea na bishara hiyo. tumefunga duka na kuanzisha biashara nyingne tofauti ambayo kwa sisi tunaweza kuimudu. naombeni ushauri juu ya hili suala na...
wana ndugu kwa wale entrepreneur kuna youtube nimeona itakuwa helpful...kuna episode ya kwanza mpaka ya sita,niliona katika pita pita yangu youtube kuhusiana na business plans..its very good ep 1-Getting From Business Idea to Business Model by Strategyzer.
hello friends.... plz assist me with business ideas that ranges from 2-5million that wil meet daily peoples demand...and incase of starting up a mini supermarket wat wil be the initial capital just the middle sized one not so large..
remember there are innocent kids out there who are being killed innocently....how many orphans are being left around..people live with fear insyd their own ground.is this fair guys?????????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.