Recent content by blessedme

  1. blessedme

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Kinondoni, Mussa Taibu amesema Msanii, Dudubaya anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay

    Huyu dereva ana hekima sana, nimeangalia baadhi ya interview zake kwakweli anaonekana dini imemkaa vizuri! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. blessedme

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imegoma kumfutia dhamana Tundu Lissu baada ya Jamhuri kuomba afutiwe

    Watu wa humu vigeu geu aki. Juzi hakimu huyu huyu alitoa hukumu ya life imprisonment mkamtukana leo kaibania serikali mnammwagia sifa. I hope siku moja mtamjua kuwa ni the most humble and thoughtful magistrate I've ever seen in my career. Ila ma state attorney Mungu anawaona khaah. Sent using...
  3. blessedme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wangu, njoo tuanze kujenga familia.

    Loh. Naomba usimuingize dada wa watu katika hii thread, na u genius wako wote, akili yako imegotea hapo ktk kufanya research?! Nilikuwa sitaki kujibu comments yoyote ila imebidi nijibu hii ili kutoa doubts zozote kuwa mi sio huyo Ina. Narudia tena, kama hauna qualifications nilizotaja, tulia...
  4. blessedme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wangu, njoo tuanze kujenga familia.

    Mmh hii thread ni nzito kama uji. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. blessedme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wangu, njoo tuanze kujenga familia.

    We sitaki kukuona na majeneza yako kaa nayo huko huko. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. blessedme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wangu, njoo tuanze kujenga familia.

    Majibu yote yapo kwenye thread yangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. blessedme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wangu, njoo tuanze kujenga familia.

    [emoji7] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. blessedme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wangu, njoo tuanze kujenga familia.

    Okay. I guess am too old to argue with you. Mi sawa msenge, nimekubali. You've a good day. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. blessedme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wangu, njoo tuanze kujenga familia.

    [emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. blessedme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wangu, njoo tuanze kujenga familia.

    [emoji7] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. blessedme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wangu, njoo tuanze kujenga familia.

    Narudia tena Mr. Khan, nimejaribu njia hii labda ntapata mwenye vigezo ntakavyo. Akikosa yote kheir. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. blessedme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wangu, njoo tuanze kujenga familia.

    [emoji848][emoji848] haya msemaji wa mbingu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. blessedme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wangu, njoo tuanze kujenga familia.

    Kwani kigezo kipi hapo ni kigumu? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. blessedme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wangu, njoo tuanze kujenga familia.

    Wasipoelewa si ndo kuwa hauwahusu. Wenye vigezo watakuja. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. blessedme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wangu, njoo tuanze kujenga familia.

    Mi ni mwanasheria, najua wanasheria wa kiume walivo. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom