Recent content by blaza zepha

  1. B

    JamiiForums Tanzania Sijala toka jana nilipohakikisha sijachaguliwa uhamiaji

    watu walishapangwa kitambo interview ilikuwa mbwembwe tu. Tanzania unaijua wewe! chakushangaza kunawatu ata ile interview ya uwanja wa taifa hawakufanya ila wameitwa. bora kuwa jambazi kuliko kusubiria ajira za bongo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Bosi wa EWURA akutwa amefariki hotelini

    ebu tuacheni unafiki, ni dhahiri TRA wamekula pesa na inaonesha kunaujajajanja kuhusu kifo chake. huyo kauawa kufuta ushahidi. hata akina Ulimboka walinusurika kifo so sio ajabu kwa haya yanayoendeshwa na wakuu
Back
Top Bottom