Recent content by blanko3

  1. blanko3

    JamiiForums Tanzania Hivi Lissu aliondoka Tanzania kama mgonjwa anayeweza kuandika barua?

    Mmeanza kulialia kungali bado mapema!! Subirini 2020 Tuwapige tena nje ndani....hapa kz tu..
  2. blanko3

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atua Chato, awapongeza wananchi kwa kuchapa kazi

    Sawa
  3. blanko3

    JamiiForums Tanzania USHAURI, Lissu asigombee urais Hawezi kushinda!

    CCM YA SASA NI KM SIMBA YA SASA TOFAUTI KBS NA CHADEMA AMBAYO NAIFANANISHA NA YANGA YA KUTEMBEZA BAKULI... HAPA NI KAZI TU NO ANY ONE LATE CCM DOWN
  4. blanko3

    JamiiForums Tanzania Hofu kuu waliyonayo CCM kuhusu Tundu Lissu

    Chadema hata wamweke nani hawawezi kumshinda ccm.... 100% 2020 ccm itachukua majimbo mengi hata kuliko chaguzi zilizopita
  5. blanko3

    JamiiForums Tanzania CCM wavamia na kuvuruga uchaguzi wa DARUSO (UDSM)

    Sikuamini mheshimiwa MBOWE aliposimama mbele yawaandishi wa habari na kwa ujasiri kbs anasema Mzee LOWASSA alitota km Mlenda... Very shaime to all chadema's opposition
  6. blanko3

    JamiiForums Tanzania Ninayokutana nayo kwenye kitabu cha i can i will I must sjui kama Rais wangu alikisoma kitabu kabla ya kukizindua?

    Hebu fanya ku-act hapa jinsi ulivyokuwa unalia, yawezekana tukajua nn kilikuliza bwege wee
  7. blanko3

    JamiiForums Tanzania Ndoto na maono ya Rais Magufuli kwa Tanzania ndio sababu ya kuwa chaguo la watanzania. 2020-2025 ni muda wa matokeo makubwa ya maono hayo

    2020 kwa mh Magufuli ana 98% ya kura zitakazopigwa.... Amini nikuambiayo
  8. blanko3

    JamiiForums Tanzania Mbowe aeleza machache kuhusu kuondoka kwa Lowassa

    Mbowe ni really comedian kbs, halafu mambumbumbu wanapiga makofi
  9. blanko3

    JamiiForums Tanzania Magufuli na CCM yako waoneeni huruma watoto hawa

    Acha uchochezi weweeee..... Kwanza hapo inawezekana ni jimbo la upinzani, vilevile cy kila kitu kifanywe na rais wakati kuna wasaidizi wake kibao
  10. blanko3

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni mkweli, jasiri na asiyependa unafiki.

    Naunga mkono hoja
  11. blanko3

    JamiiForums Tanzania MUSIBA: Makamba ni nani katika nchi hii? hana lolote, na Hana cha kunifanya

    Kwani huyu c msiba km misiba mingine?
  12. blanko3

    JamiiForums Tanzania Ni kina nani hawa wanaotishia usalama wa Rais wetu kiasi hiki?

    Wape somo waelewe vzr
  13. blanko3

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Magufuli mkoani Mbeya imenifanya nimtafakari mbunge Sugu kwa upya

    Kwa ziara hii Magufuli tayari kwa 100% Huyu mnamwita raisi wa mbeya hana chake pale.... Hongera sana mh Rais wangu Dr. John Pombe Magufuli Mungu ajulinde kwa yote
  14. blanko3

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kufanya kata funua CHADEMA. Apanga Kuwaita wabunge na wafuasi wa Lissu

    Kwani Mbowe si ndo mmiliki halali wa hii kampuni ya Chadema!!!? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. blanko3

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA: Ukiwa umevaa taulo kisha likachoropoka, unajistiri na kuomba msaada

    CHADEMA WOTE NI NYUMBU TU....UROHO WA MADARAKA NDO KITU HASA KINACHOWATESA HAWA VIUMBE Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom