Nadhani apa iko ivi, ukata wa fedha amaanisha hakuna fedha za settle transaction mfano wewe ukijaza form ya repurchase ukiwa unauza vipande ina maana unatakiwa upewe fedha yako ila unakuta hawana cash kwa muda huo ya kutosha kukamulisha huo muamala wako kwa sababu UTT hawakai na hela ya mtu na...
Wakuu habari nahitaji msaada wa kujua gharama za kusafirisha mzigo kutoka mbeya kuja arusha (tani 14) na kahama kuja arusha(tani 10). Bidhaa ni mchele
Kwa anaejua gharama naomba msaada
Huu uzi unaonekana umejaa wasomi sana alafu ni wasomi ambao bado wanakasumba ya kujiona wao ni bora kuliko wengine na wanastaili kuliko wengine jambo ambalo si kweli ata kama mtu ameishia darasa la saba anaweza akawa na IQ kubwa kuliko aliefika level ya degree kwasababu ata chuoni tuliona mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.