Recent content by BlackHermito

  1. B

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Wafanyakazi wa Afya Wanaojiendeleza Kimasomo Kutoka Mikoa ya Pembezoni

    Ni jambo la kusikitisha kuona wafanyakazi wa afya kutoka hospitali za rufaa za mikoa ya pembezoni kama Katavi, Rukwa, Kagera na Mara wakijitolea kujiendeleza kielimu katika kada mbalimbali, ikiwemo ufamasia, ukunga, unesi na udaktari, lakini wakilazimika kujigharamia wenyewe bila msaada wowote...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ccp kazi yao ni ukufunzi sio kuajiri. Wao wanapelekewa makuruta kutoka HQ
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Jeshi likihitaji litawatafuta tu katika wale waliofanya usaili ila hawakupata nafasi ya kwenda kwa sasa. So ni mpaka wao wakutafute sio wewe uwatafute.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

    Huu ni uongo kabisa ,acha kupotosha tumepita chalinze sokoni hapo. Hamna bei kama hii.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wakianza kuita utajua tu boss
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sylvia Sigula: Rais Samia Umetuheshimisha

    Mwenye contacts za Huyu Mhe Mbunge tafadhali anisaidie
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kaka tumeshajitosa...tunasikilizia wakitutosa tutabak tu kwa kanjibahi🤣
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sijawah wafatilia hawa jamaa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kaka Chief hapo juu amesema tutulie tu Kwani wakat ukifika wakikamilisha taratibu zote za course kuanza watalitoa. PT wakitoa pdf huwa haipiti zaidi y wiki mnaenda kureport hivyo hawawez toa wakat mambo hayajakaa sawa.. hapa unakuw unajipa stress tu mwenyewe kuliwazia sana
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hawa huwa wanatangaza uraiani hawa?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kaka bado nipo uraiani kaka 😂😂
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna bogi liliongezwa wakati course ikiendelea kama mwezi wa pili hivi
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kama taasisi itahitaj proffesionals, huwez epuka kuchukua wa mujibu kwa kuwa ndio wamesoma, ila kwa nafasi zingine basi waliojitolea inatakiwa wawe priority kabisa
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Omba usiogope...kuna proffession wanazihitaj watachukua tu
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kazi kwenu vijana mliojitolea kwa miaka miwili JKT....
Back
Top Bottom