Kwa utafiti niliyofanya, nimegundua Wanaume wengi wanavutiwa zaidi na mwanamke weupe kuliko weusi. Unakuta wanawake wawili labda wanafanana features kama face shape, macho, figure lakini tofauti rangi, basi yule mweupe ndo anashobokewa kuliko mweusi.
Wanaume nawashangaa, wako...
Modern lady nimekutana na mwanaume wa pwani. Jamaniiiiii nisaidieni nitaachika.
Tupo kwenye relationship kwa almost 3 years. Mwanzo ilikuwa mambo ya kwenda out na kuenjoy. Nikifikiria kwamba hana mambo ya pwani na wala hahitaji mwanamke wa design hiyo coz Siku zote alikuwa ananisifia Jinsi...
Modernlady nimekutana na mwanaume asiye modern. Jamani nisaidieni. Tupo kwenye relationship kwa almost 3 years. Mwanzo ilikuwa mambo ya kwenda out na kuenjoy. Nikifikiria kwamba hana mambo ya pwani na wala hahitaji mwanamke wa design hiyo coz Siku zote alikuwa ananisifia jinsi nilivyo mchapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.