Ni kweli tupu ,ukitembea nchi za wenzetu,na haswa SA,utajionea kiasi gani tunatakiwa kubadili mfumo wetu haraka sana,huwa najuliza wao wanapotembea huko wanjisikiaje???
Lakini ni ubinafsi umewatawala sana kila anaepewa madaraka kwny chama tawala ndio anajitahidi kununua majumba huko ,pa...
Dawa ipo tarehe 25,naisubiri kwa hamu,hili Dubwana litabadilika linaweza kuondoka au kuona linachofanya na fedha zetu. Kuliko hivi lipo kila kona ya tunachopata na bado tunaambiwa bila misaada hatuendelei
Mabadiliko tunayotaka ni ya kubadili chama na mfumo wake mbovu,mwaka huu Ukawa,wasipofanya vizuri , mwaka unaokuja tunachagua mwingine na ndio maana ya vyama vingi na pia uchaguzi,wakikoroga wanaondolewa kama tunavyowaodoa ccm this year,wapumzike.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.