Kitu hutakiwi kuogopa ni nn kitatokea baada ya kufa sbb huwezi kusema tena na kubwa kuliko yote hautudi tena eti ukute mali zimeisha au kaolewa tunaomwamini Mungu tunaamini kila mtu kapangiwa maisha yake tuache kuwawazia sana watu wengine
Hivi kwa nchi hii masikini inayotakiwa kubana matumizi kuanza kuwapeleka watuhumiwa kwenye mahakama isiyokuwa na uwezo wa kusikiliza shauri hilo si ndo matumizi mabaya ya kodi zetu?
Mtoq mada tunashukuru kwa taarifa ngoja tuanze kujiandaa mkeka ukiwekwa tu tuchote baraka kwa kuchanga kwa mtu aliyepitia mateso na tuendelee kuwaaibisha watesi wake
Nhif walisema wenye shule ipeleke package ya wanafunzi miamoja shule imefikisha watoto mia moja kuwapelekea wanakataa wanataka wenye shule wawalipie wanafunzi wote walionao shuleni na hawajatoa waraka kwa wananchi
Hakuna kitu nimekishangaa kama tozo za mabenki walijua tozo zimeanza hawajatupa taarifa wakaacha tuendelee kutumia huduma alafu wakaja kukata tozo za miezi miwili kwa kuamua tu tena bila taarifa ni uhuni na wateja hatujui hata tozo ni kiasi gani waziri ubabe umezidi
Pole sana unamuondoa ili uone wife akiteseka sbb ndoa zilipofika kila mtu anamuombea mwenzake mabaya mnawazana huyu atakufa lini KWA TAARIFA YAKO UTAKUFA UTAMWACHA KILA MTU AMKUBALI ALIYENAE USIANGAIKE KUMBADILISHA SBB HAKUNA MTU ANABADILIKA CHA MUHIMU NI KUKAA NAE KWA AKILI NA KUMKUBALI UKIONA...
Uku Geita Masumbwe bodaboda kwa safari moja wamepandisha kutoka 1000 kabla ya mafuta kupanda sasa hivi ni 2000 na asiyelipisha wanamfungia mnyororo na faini ya keti tatu za soda Serikali mngelitolea ufafanuzi na hili wananchi wanateseka kwa kutembea na miguu kilometa 10
Haya tumesikia weka na orodha ya wake za watu walio chuoni kwenu off compass na hukawai kuwaona na wanaume wengine ili tulinganishe kunguru na njiwa ni wangapi sbb hata hapa mjini maghorofani watu waneshindwa kuwafuga kunguru
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.