Recent content by BLACK Tanzania

  1. B

    JamiiForums Tanzania Complaint Regarding Breach of FIFA Code of Ethics by Young African Sports Club

    Kazi mlonituma wananzengo nimeshaimaliza tusubiri majibu....
  2. B

    JamiiForums Tanzania Complaint Regarding Breach of FIFA Code of Ethics by Young African Sports Club

    Dear FIFA Ethics Committee, I am writing to report a potential breach of the FIFA Code of Ethics by Young African Sports Club, the current premium football champion in Tanzania. On Monday, 11 August, at Mlimani City Hall in Dar es Salaam City , the club's president contributed 39,000 to the...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete hajapenda kuzungumza leo msibani

    Hataongelea nini kwa mtu aliyekuwa sio mwanamtandao?
  4. B

    JamiiForums Tanzania List ya wanamtandao "wahuni" wanaotikisa nchi ile ya ahadi..........

    Umuofia kwenuuuu!! Mapama wanaotikisa chi ile ya kusadika kwa uchache ongezeni wengine 1. Aziz 2 .6(Marehemu) 3. Edward (Marehemu) 4. Mzee wa Msoga 5. Makamu mtarajiwa 6. Amos 7. Mzee wa tai ya taifa 8. Bashiaae 9. Mauzi au mathread(Junior) Arafu nyie.... isijekuwa nayo hii platform...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Agusa mioyo ya watu Baada ya kukataa Uwanja Kuitwa kwa jina Lake. Ampatia John Malecela Heshima Hiyo kutambua Mchango wake

    UNegtwambia amuegusa mioyo ya wanamtandao tungekuelewa...huyu aliyepewa jina mbona wakati wa JPM hakupewe hata mtaaa??> mama kaathirika na mtandao..wanawake Mungu anawaona
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF RELEASES 2025 CLUB RANKINGS: Simba yaongoza Afrika mashariki na kati yashika nafasi ya 5 Yanga nafasi ya 12

    Katika viwango vipya vya Shirikisho la mpira Afrika CAF 2025, simba sc imeibuka kinara wa afrika mashariki na kati huku ikishika nafasi ya 5 barani afrika, wakati yanga sc ikishika nafasi ya 12 kwenye orodha hiyo ya vilabu bora.
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yeriko Nyerere: Nimejiridhisha asilimia 100% CHADEMA haitainuka tena, msahau

    Ni kweli enzi za mbowe hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo mpaka pale FAM alipoingia choo cha kike cha kutaka kuwaondoa woote waliokataa pesa ya Abdul na Mama yake...na hapo ndipo game changer TAL aliposhika usukani.....na kuruhusu watu kufunguka..mkatoka baruti washenzi nyie. Hivi sijui chama...
  8. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbowe: Aliyemuahidi kumtafutia fedha Lissu yupo Canada na familia yake anabonyeza simu tu

    Dogo umetuhaibisha saana. Pamoja na udhaifu mkubwa wa Baba yako nilikuwa nadhani Babu (Mbowe mzee) alipata angalau mjuu mwenye akili kidogo kumbe ndio taka..taka...si mgesubiri basi angalau hata mwanzilishi wa Boma (Chadema) aondoke duniani ndio muasi....aiseee wachagu kwa mara ya nyingine...
  9. B

    JamiiForums Tanzania DC Msando anajaribu kutaka kuwa Mungu wa Ubungo!? Anataka kuwa kama Sabaya wa wilaya ya Hai! Msando anahisi atakuwa kiongozi milele yote

    Ndio mkuu hujaona video yake akimpiga vidole Gigy kwenye masanga? nikutumie?
  10. B

    JamiiForums Tanzania DC Msando anajaribu kutaka kuwa Mungu wa Ubungo!? Anataka kuwa kama Sabaya wa wilaya ya Hai! Msando anahisi atakuwa kiongozi milele yote

    Hana lolote anajaribu kuacha legacy.....sio "mzima" yule ...Bwana wa Giggy
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye masuala ya kidigitali, CCM imejidhihirisha kua ndio chama cha siasa Baba wa Teknolojia Tanzania

    swala sio pese nazungumzia coordination wagekuwa chadema lazima polis wangeimbwa kushirikiana nao "kuleta amani" kikaoni
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye masuala ya kidigitali, CCM imejidhihirisha kua ndio chama cha siasa Baba wa Teknolojia Tanzania

    Hoja ingekuwa na mashiko kama usingetumia ukada....kuna hela ya CCM hapo imetumika au maandalizi yamefanywa na wakuu wa mikoa na wilaya (hiyo si serekeleee) Chadema wasingepewa hata ukumbi hata mmoja
Back
Top Bottom