Recent content by Black Panther

  1. Black Panther

    Serikali yazitaka TRA na TPA kubaini chanzo cha kupungua kwa shehena za kontena bandarini

    Hata contena zinazoingo Hata idadi ya contena kuiingia nchini imepungua, hakuna utaratibu sahihi wa kulipishwa ushuru na malipo mengine! Wanafanya upliftment bila kujua hali ya kiuchumi ya Dunia. Bei za vitu vingi wimepungia duniani, nchi zinazo export wanauza bei za chini - huku kwetu...
  2. Black Panther

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi wa jiji la Dar, Wilson Kabwe. Makonda amtuhumu kuongeza mkataba wa maegesho bila mchakato

    zile tinga tinga zilizoingia mjini ma kubomoabomoa paa za madukani mwa wananchi - ziliamrishwa na nini??
  3. Black Panther

    Mkuu wa Mkoa wa Dar atoa siku 6, ombaomba wasionekane mabarabarani Dar

    Shida kubwa ambayo ipo, ni kwamba hawa viongozi wetu wanasema ifanyike hivi na vile, lakini hakuna ufuatiliaji hakiki ma baada ya miezi chache tuu - hali inarudi vile vile! Hii mambo ya muziki kwenye baa mida za usiku, ishawahi kukatazwa - lakini ni yale yale! Watch thos space, hao ombaomba...
  4. Black Panther

    Magufuli: IPTL ni mkataba wa ovyo, Serikali haitaendelea nao!

    Je, itawezekana? Watafanya hivyo?
  5. Black Panther

    Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Hapa kwetu, vitu vinavyozalishwa na viwanda vyetu ni ghali kuliko kuagiza kutoka njee ni kwa sababu hapa kwetu gharama za uzalishaji (umeme, bureaucracy, red tape n.k), inafanya tusisonge mbele, na inakuwa rahisi kuagiza kutoka nje
  6. Black Panther

    Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Kila mwaka tunakuwa na upungufu wa zaidi ya tani laki moja na elfu themanini, ndipo serikali inatoa vibali vya kuagiza sukari bila ushuru, na pia waagizaji wanapangiwa kuuza sukari hiyo kwa bei iliyopangwa na serikali.
Back
Top Bottom