Recent content by Black Moon

  1. B

    Mkuu wa Mkoa wa Dar atoa siku 90 kwa wamiliki wa silaha kuziwasilisha polisi kwa ajili ya uhakiki

    Nionavyo mimi ni wajibu(haki) ya kila mwananchi, hhususan wenye nyumba Na familia kumiliki silaha kwa ajili ya kujilinda wao, familia zao pamoja Na Mali zao. Haiingii akilini kwa mtu responsible kukaa chini na kuangalia majambazi yakitesa familia yako Na kuchukua Mali ambazo umechuma kwa miongo...
  2. B

    Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

    Nakubaliana Na wewe kwa kuweka CCTV, lakini silaha kubwa itakayosaidia vyombo vya usalama ni matumizi ya helikopta
Back
Top Bottom