Recent content by black jeus

 1. black jeus

  Mtoto anatokwa na jasho hata Kama ni nyakati za baridi

  Ngoja,tuendelee kusubir wajuzi
 2. black jeus

  Mtoto anatokwa na jasho hata Kama ni nyakati za baridi

  Habar JF Doctor, Nina mwanangu ana miezi sita, anatokwa na jasho ana kichwan akiwa amelala, amekaa au anakula. Je, hali hii inasababishwa na nini? Je, ina madhara gan kwenye afya yake? Naomba msaada ta tafadhali!
 3. black jeus

  Simtaki mume wangu kabisa kimapenzi, akili yangu ipo kwa boyfriend wangu

  Hawa mkuu hata ha wajui wanachotaka ndio maana hata enzi za nyuma walikuwa hawahesabiki(hawatiliwi manani)
 4. black jeus

  Simtaki mume wangu kabisa kimapenzi, akili yangu ipo kwa boyfriend wangu

  Na hii ni moja ya sababu kwann ndoa nyingi zina migogoro na hazidumu kwa sababu ya watu wenye TAMAA kama wew nataman kwa hasra hata kukutus lakin basi tu feeling bad for the situation [emoji26][emoji26]
 5. black jeus

  Nina shahada ya Uhandisi ya ElektronikI na Mawasiliano, ninatafuta kazi yoyote

  Shukran! hivyo vyote ninavyo,mazingra ninayoishi kwa Sasa ni kijijin na hakuna umeme
 6. black jeus

  Nina shahada ya Uhandisi ya ElektronikI na Mawasiliano, ninatafuta kazi yoyote

  Wakuu nawasalimu, Mimi ni kijana niliyemaliza chuo ngazi ya shahada ya uhandis kitivo cha Elektroniki na Mawasiliano natafuta kazi yoyote nina uzoefu ufuatao: 1. Radio and tv transmission 3 years 2. Configuration of 2G,3G na Drive test 3. Computer application, hardware maintanace na kidgo...
Top Bottom