Humu ndan mnapenda kutishana tamaa balaa. Mm nmeanza uwakala na mtaji wa sh laki 8. Hapo nmeshapata line na nshalipa frem elfu 70. Sikuwa na uwakala wa benki. Ila sasa hv nafanya karibia benki 8. Sjawah kuongeza mtaji kwa kukopa. Mtaji ulioongezeka umetoka na commission nilizozipata. Ukifuata...
Hazina tofauti sana na za simu japo za benki ziko chini kidogo. Uzuri wa benki wateja wengi wanatoa na kuweka hela ambayo inakupa commission nzuri. Maana yangu ni kwmb unaweza kupata wateja wengi wa benki wa kutuma na kutoa average nzuri kuliko simu
Boss mtaji 20M upate commission ya sh 500k? Kuna tatzo mahali au huenda ndo kwnz umeingia kwenye game. Hyo 500k ilitakiwa ipatikane ktk line mojawapo ya unazofanyia dukan. Kwangu line zinazofanya vbaya ukitoa t-pesa ni halopesa na airtel money, ila nikijumlisha commission ya halopesa +airtel...
Uko sahihi kabsa. Mm nimewahi kufanya hii biashara na sikuwa na idea yoyote ya ufundi. Ila ni biashara iliyonipa mwanga na kiukweli inalipa. Ila changamoto zake ni km hzo. Km huna ujuzi wowote wa ufundi lazma uutane na tabu kubwa
Changamoto ya biashara hii ni mafundi. Ndo maana nikakushauri ni vzuri ukapata idea kidogo ya kushona. Unaweza ukawa na kazi za wateja na zinatakiwa kuchukuliwa leo mchana ila mpk saa nne fundi hajafka kazini. Hii kibiashara sio nzuri. Utakuta unazngua na wateja kwa sababu ya fundi. Changamoto...
Km ww sio fundi au huna idea ya ufundi hata kidogo achana na hyo biashara. Narudia km unataka kumtegemea fundi afanye hayo yote achana nayo vingnevyo utakufa kwa stress.
La kufanya anza kujifunza ushonaji hata kwa miezi 6 hadi mwaka 1 tu uwe na ujuzi kidogo hapo angalau utaimudu.
Biashara ya...
Mimi hapa ndo nmesema. Sdhan km kwangu ni sahihi kukwambia ninachopata. Maadam naridhika nacho inatosha.
Nmempa mtoa post mawazo sasa ni yy kukubaliana mayo au kuacha. Sio kila biashara utaiweza.
Kupata line kuna njia mbili
1. Kununua kwa mtu
2. Kwa wakala mkuu
1. Kununua kwa mtu.
Unaweza kununua kwa mtu line za uwakala endapo huyo mtu unafahamiana nae vzuri. Hii njia sio nzuri kwa sababu km aliyekuuzia sio muaminifu anaweza kuiswap line yako na ukapoteza pesa zako. Hata km ikitokea...
Nmegundua kwamba watu wengi wapo ili kukatisha wengne tamaa.
Sio kila biashara ulioshndwa ww kwmb haina faida. Na wengi wetu tunapenda kuponda biashara wakati hatujawahi kuifanya.
Kila biashara ina changamoto zake kwahyo biashara ya wakala ina changamoto km biashara nyngne.
Kuna watu...
Miaka kadhaa nyuma baada ya kumaliza chuo hapa mjini nikiwa sina natafuta ajira, nilipata demu mmoja hv alikuwa anakaa Mbezi, mm kipindi hcho nakaa Kimara. Bas siku moja mida ya jion baada ya kutoka kazini akaniita tukutane pale Kimara daraja tupge story mbil tatu. Alitangulia kufika. Mm nafika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.