Recent content by BLACK CHATA

  1. B

    Ni wapi naweza nikapata sigara.?

    Mkuu hata hivyo hii hesabu yako haijakaa sawa 40M ukigawa kwa hizo outer 100 ni sawa kila outer 1 ni 400K kwa hiyo pakti 1 yenye sigara 20 itakuwa 40K hii sio sawa.
  2. B

    Msaada; namna ya kupata trekta za mtumba aina ya Massey Ferguson 165.

    Mkuu nina uzoefu nazo hizo zote lakini Newholland 75hp ndio the best.
  3. B

    Msaada; namna ya kupata trekta za mtumba aina ya Massey Ferguson 165.

    Newholland 75hp ni mashine ya kazi haswa nina uzoefu nazo nimezitumia sana.
  4. B

    Msaada; namna ya kupata trekta za mtumba aina ya Massey Ferguson 165.

    Hazina changamoto yoyote kikubwa ni matunzo. Nimezitumia sana ni mashine ya kazi haswa.
  5. B

    Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

    Wakuu sisi wapiga mitungi tuheshimiwe tuna mchango mkubwa sana kwa taifa.
Back
Top Bottom