Recent content by Black Book

  1. Black Book

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Jina la Bwana Lihimidiwe Apumzike kwa Amani Ruge!!
  2. Black Book

    I hate you World

    Maisha sio lelemama mtoto wa kiume komaa komaa komaa Mambo ya I hate you world utaishia kujinyonga hapa hakuna aliyeandika barua azaliwe wote tumejikuta hapa baada ya miezi tisa tumboni komaa mzee. Haijalishi unajisikiaje kama afya ipo Kula Chapati mihogo au vitumbua vaa nenda ukapambane bila...
  3. Black Book

    Msaada : TV INCHES 55 INAHITAJIKA .

    Hapana Mkuu hiyo sina
  4. Black Book

    Msaada : TV INCHES 55 INAHITAJIKA .

    Ushauri wa kuzingatia huu... Sio tu kwa wanunuaji hata sisi wauzaji tunapaswa kua makini sana tushalizwa sana huku tuma mzigo nikipokea nakutumia hela. Namna nzuri ni kua na middle men mnunuaji anayemuamini aje akague mzigo akiridhika alipe achukue chake
  5. Black Book

    Msaada : TV INCHES 55 INAHITAJIKA .

    Ac hatuna mkuu ila naweza kukutafutia ila hatugharamii usafiri mkuu
  6. Black Book

    Msaada : TV INCHES 55 INAHITAJIKA .

    Nina Sumsung 42 na 55 zipo Zanzbar Bei poa sana Ila usafiri juu yako
  7. Black Book

    Michango ya matibabu ya Ruge: Kuna mambo yanafikirisha kidogo...

    wewe umetoa shilingi ngapi!? katoe sadaka kanisani upate dhawabu hakuna mahali wamesema ni lazima kumchangia
  8. Black Book

    Michango ya matibabu ya Ruge: Kuna mambo yanafikirisha kidogo...

    Boss anaumwa Mambo mengine ni confidential katika taaluma ya utabibu maadili ni pamoja na kutunza siri ya mgonjwa hujafa hujaumbika kama unaweza kutoa msaada toa kama huwezi basi piga kimya usikatishe tamaa wengine watoaji. Najua hata familia hawafurahii kupitisha michango ila maisha ni mitihani
  9. Black Book

    Nisaidieni tunataka Mtoto na Mchumba wangu.

    Ahsante Silicon Valley Pia ni series niliyowahi kuipenda sana Nashukuru zaidi hapo pa "ushauri wako"
  10. Black Book

    Nisaidieni tunataka Mtoto na Mchumba wangu.

    Asanteni wakuu
Back
Top Bottom