Recent content by BKT

  1. BKT

    Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

    Hujafika Dodoma wewe, niliwahi kukaa makulu Yani single mazas ni wengi mn
  2. BKT

    Natafuta Fundi mwenye uwezo wa kufuta DPF kwenye Mazda

    Tulia kwenye toyota mkuu dio lazima uje na huku
  3. BKT

    Natafuta Fundi mwenye uwezo wa kufuta DPF kwenye Mazda

    Kumbe... Basi hata kibaha maili moja panatosha au mlandizi
  4. BKT

    Natafuta Fundi mwenye uwezo wa kufuta DPF kwenye Mazda

    Me nataka niwe naenda mpaka chalinze na kurudi
  5. BKT

    Natafuta Fundi mwenye uwezo wa kufuta DPF kwenye Mazda

    Yeah nafaham kwamba inatakiwa after every certain time inabidi utafute ruti ndefu ili ijifute sasa sie wengine kupata muda wa kuitungua kila baada ya muda flani ndo changamoto ndomana nataka niitoe tu
  6. BKT

    Natafuta Fundi mwenye uwezo wa kufuta DPF kwenye Mazda

    Me sio mtu wa route ndefu za highway mkuu, ni town trip to sema nimeinunua kwa kufata mapenzi yangu kwa hii gari
  7. BKT

    Natafuta Fundi mwenye uwezo wa kufuta DPF kwenye Mazda

    Habari wana JamiiForums. Nimejipiga piga hapa nikajikung'uta kila kitu nikanunua Mazda CX5 sasa nilikuwa naomba mwenye kujua garage nzuri yenye mafundi wa Mazda
  8. BKT

    Car4Sale Subaru Forester 20XT eyesight for sale

    Odometer haijaguswa?
  9. BKT

    Mbatia ahusishwa na matumizi mabaya ya fedha za mfuko wa jimbo

    Kutoa hela kwa rubani mstaafu roho imekuuma au sio.. nenda kamuulize hiyo hela ya kumtibia ruge kaitoa wapi na hata akiitoa serikalini kwani ruge si mtanzania
  10. BKT

    Kamanda Mambosasa: Vigodoro haviendani na ustaarabu wa Dar, tutawashughulikia kabla hawajaanza kucheza

    Wazaramo kwao ni huko samvu la chole, maneromango, msanga sio katikati ya jiji la dar
  11. BKT

    Tanzania yashinda kesi ya uvuvi haramu, mmiliki wa meli Buah Naga atakiwa kulipa Tsh bilioni 1

    Kwaiyo unatakaje? Tuwaachie kwakuwa wameliingizia taifa hasara ndogo
  12. BKT

    Rais Magufuli: Wafanyabiashara msiponunua Korosho kwa bei reasonable, Serikali tutanunua kwa siku mbili tu. Uwezo tunao!

    Sio kweli rais aliongea kabla hata hao upinzani hawajaongea
Back
Top Bottom