Recent content by BKA

  1. B

    Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

    mara ya Kwanza si ilikuwa selected? au not selected?
  2. B

    Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

    Hata Mimi imebadilika ila wale wa Customs haijabadilika. Mimi nachojua kama not selected inatakuwa ibaki ivyoivyo, kama selected inatakiwa ibaki ivyoivyo, kurudi kwenye shortlisted maana yake kuna circumstances flan. Wale wa customs wanasema wao ipo vilevile Selected and not selected, why was...
  3. B

    Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

    Mtiani ulikuwa Simple sema ulikuwa surprise watu wamejiandaa na Maresearch,, Unakuja kutoa hesabu ya Customs ambayo ni marks 25,, hapo hujaingia na calculation,afu pia ulikuwa mtiani mrefu ukilinganisa na mda,,,,Aya we mwenzetu unaeona mtiani mrahisi tutajie international double taxation...
  4. B

    Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

    Hapana Sikugusa hata Calculations,,,,Ndo naona pepa Gumu coz sikugusa calculation
  5. B

    Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

    Masahihisho watu tulikuwa kwenye pepa,,, 11.b. Ilikuwa ni Occarance of international double Taxation jurisdiction principles. 11.c Methods of eliminate international double Taxation 14. Explain 4 procedures of resolving Tax disputes 15.Ni hesabu ya CIF ambayo ipo upande wa Customs so kuletwa...
  6. B

    TRA hamjawatendea haki INTERNS wenu

    Sasaivi wasomi wapo wengi wanafika hata laki Saba huko wire wamemaliza degree ,,,na wote wanataka izo interns so hao waintern ilikuwa ni lazima wamalize ili waingie wengine nao wapate uzoefu kazi zenyewe zimekuwa chache sikuizi afu kila mta anaiangalia serikali imuajili Nyooo muwe na shukrani...
  7. B

    Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    O We Kuna majibu umepatia Kuna lingene umetuingiza Chaka mfano ilo principles of Customs valuation wewe umetuandikia Customs valuation methods ,,,Sasa toka lini Principles na Methods Ni sawa? Rudi darasani kasome Vizuri Customs valuation afu ulete majibu hapa,
Back
Top Bottom