'STAKE AT YOUR OWN RISK'
Hii kauli ya kibabe sana... [emoji28]
Vipigo vya kanji vimekuwa vingi sana tunaumia lakini hatusemi kwa 7bu tumeshaambiwa kwamba ni RISK
OGOPAAA NI HATARIIIII! [emoji23][emoji23][emoji23]
BetPawa wanatoa Bonus kubwa kwa mechi zenye odd ya kuanzia 1.25 na kuendelea na kuhusu idadi ya mechi zisizidi mechi 60
Kama niko wrong watasahihisha wakuu wengine
Ni kweli user interface au mwonekano wa SportyBet sio rafiki sana kama BP
Hata mimi mwanzo ilinipa shida sana lakini nikawa naifanyia mazoezi mdogo mdogo baada ya kuona hujuma za BP za kuchelewesha malipo na kupunguza Bonus
Mazoea huwa yanajenga tabia!
ukiizoea SportyBet utaipenda sana na...
Jana kuna code ilitumwa humu ina odd 214 edited, nikaichukulia poa nika istake kwa sh 200,
Daaah imeniuma sana coz leo nakuta imetiki na mtaji nilikuwa nao mkubwa tu!
KWELI MAJUTO NI MJUKUU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.