Kwa mfano lakini,
Wewe hapo ulipo ukapewa jukumu kubwa kabisa la kuhukumu mafisadi au hao wanaoitwa mafisadi,
Ukaletewa LOWASA hapo mbele yako unaweza kumuhukumu?
Au embu na mm Leo nataka nijue huyu Lowasa ufisadi alioufanya hapa Tanzania ambao hauhitaji hukumu Bali ni kusemwa na kuja...
Malizia n
Malizia na hii kama kweli wanadili na watu walioitia hasara serekali yetu iv hadi Leo nani amewajibishwa kwenye mishahara hewa, najua hakuna sijasikia mkurugenzi hata mmoja amewajibishwa zaidi ya KILANGOZZZ
Iv boss ufisadi Wa lowasa nn ni hasa coz hata mm nipogo njia panda sana kama unajua tiririka man by the way kama ni Richmond bado ipo hewani Leo kesho na milele ni jina tu litabadilikaga, ila ukiniambia mm nitiririke na ufisadi uliopo ndani ya vviongozi wa ccm nafikiri kama ni swali la kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.