Ndg biashara haihitaji hasira wala panic, baki kwenye utulivu, kwani kuna mtu anaweza kukuuliza swali la maudhi, lengo ulijibu kwa misingi ya maudhi ili uonekane huna maana.
Ni lazima ujue una deal na watu wa aina gani, ukweli ukisha weka no yako kwenye tangazo, kwa uzoefu wangu hapa jf wahitaji...