unapochangia ni vema ukatoa ushahidi usikurupuke, wakiristo wameonewa umetaja Zanzibar,Dar na Geita lakini hujui mauaji ya waislam wengi yaliyotokea Mwembechai kwa kupigwa risasi na askari mwaka 1999 baada ya Maaskofu kumuagiza Mkapa afanye hvo mara moja cha kushangaza hakuna hata uchunguzi...
Wakiristo mnachekesha sana mnaposema "kila kiingiacho ni halali" hii haingii akilini ndo maana waislam hawataki mchinje kwa sbb nyie nyama ni nyama ya mtu, paka, mbwa n.k....lakini haya ni mafundisho mabovu ya Paulo wala si Yesu Kristo aliyefundisha hivyo..wala Mungu hakusema hivyo kama kweli...
"kama angeuwawa muislam angechukuwa hatua haraka" hii inaonesha ni jinsi gani unavyoropoka bila data...Wakiristo wa madhehebu ya sabato walimvamia na kumpiga mpaka kumuua kijana wa kiislam Jummanne huko Shinyanga mwaka 2009 ni hatua gani zilichukuliwa dhidi ya wasabato hao? baada ya hapo...
asiye na akili ni Mwl Nyerere na ndiye aliyeleta udini Tz sema propaganda znafanya watu wasiue yeye aliweka sheria kwamba waislamu pekee ndo wanaotakiwa kuchinja na kuwanyima haki hiyo Wakiristo, lakini aliwachotea Wakiristo mapesa mengi huku kuendeshea mashule huku waislam wasiambulie kitu...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.