Recent content by Bithurasdinhournhim

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tunachezewa sana, Serikali irudishe tozo zetu

    Upuuzi mtupu!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ni busara kupigana na vibaka kama watatu au zaidi kama wanataka kukuibia simu, hela n.k?

    Hujui kupiga wewe! Hivi huo muda unawatazama wakirusha ngumi ama silaha mfano panga na wamelielekeza kichwani mwako unautoa wapi na saa ngapi? Wapo sita mmoja kashekulamba bisibisi ya mbavu hata, kama hawana mafunzo karatee zako haziwezi kukusaidia kuwapiga! Isitoshe tu hata wanajeshi wenyewe...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tunachezewa sana, Serikali irudishe tozo zetu

    [emoji2539][emoji2539]
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanafunzi kidato cha 3 adaiwa kujinyonga, kisa kuikataa Shule

    Nenda ukajaribu kujinyonga sasa hivi ulete mrejesho, tena ikibidi funga safari hadi eneo alilojinyongea na uombe hiyo tai aliyoitumia, funga kwenye hilo hilo kenchi tuone hiyo tai itakavyochanika kabla hujafa ama ulete mrejesho!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tunachezewa sana, Serikali irudishe tozo zetu

    [emoji102][emoji102]
  6. B

    JamiiForums Tanzania Team Rais Samia H. tupo nae, tutamlinda na kumtetea popote!

    Tutaendelea kuwasagia kunguni wote ambao ni ant Mama… Tushamalizana na kubwa lao! Sasa tunahamia kwa vidagaa!!!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Team Rais Samia H. tupo nae, tutamlinda na kumtetea popote!

    Haizuii kusimama na Mama.., Leta mkeka wa awali kabla ya huu mpya unaoonyesha gharama za hapo kabla!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Team Rais Samia H. tupo nae, tutamlinda na kumtetea popote!

    Hiyo kesi ya Mbowe itaisha tu… hamna ishu pale! Ila hao wahuni walipo wanajua wanaandaliwa nini! Huyu mama anasimama, wenye stress za 2025 watanyooshwa!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Team Rais Samia H. tupo nae, tutamlinda na kumtetea popote!

    Tulia wewe…!!! Huyu Mama, hawatamuweza! Hao wenye hasira ndio tunawataka, waje na hasira zao kichwa kichwa waone! Sisi tuko nae, tutanoa kucha zake sawa sawa ili atakayeingia mkenge araruliwe!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Team Rais Samia H. tupo nae, tutamlinda na kumtetea popote!

    Kila zama na kitabu chake… Acha tutambe nae! Zama zetu zikipita mtasoma kitabu kijacho!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Yajue Maguvu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Jobo tutamnyoosha… kutuletea wale wabunge wa Covid19 asidhani tulimfurahia sisi wanaccm, ni vile mwenda zake alimkingia kifua ili yasikosekane yale mabilioni ya…. Sasa hivi mama yupo tayari kuyakosa!!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Team Rais Samia H. tupo nae, tutamlinda na kumtetea popote!

    Huyo ni kama Haji Manara tu! Manara na perfume zake za Sijui de leboss ziko wapi?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Team Rais Samia H. tupo nae, tutamlinda na kumtetea popote!

    Mimi ni kiraka bwashe, popote nimo…!!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Team Rais Samia H. tupo nae, tutamlinda na kumtetea popote!

    Nacheza nafasi zote… kipa akipigwa red card nabadilisha jersey tu, and vice versa!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Team Rais Samia H. tupo nae, tutamlinda na kumtetea popote!

    Imebidi sasa baada ya Rais wetu kutoka hadharani kuelezea yanayoendelea nyuma ya pazia, basi na sisi ambao tunamuunga mkono tusimama nae! Hakika wote tunafahamu hakuna binadamu mkamilifu, na kwamba japo yapo ambayo yamekwishajitokeza (yalisababishwa na mijamaa flani ambayo tayari mafaili yao...
Back
Top Bottom