Recent content by bitete

  1. B

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Kwa hiyo unataka awe in charge mpaka chumbani kwako sio,
  2. B

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Wewe sijui unaishi dunia gani? Nani kasema wahalalishe uzinzi? Inaonekana wewe hujazaa. Subiri uzae halafu ndo uongee
  3. B

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Hakuna mtoto anaetoka nyumbani na nia ya kwenda kufanya mapenzi, wengi wanalazimishwa na watu wazima, walimu n.k. sasa mtoto innocent kama huyo unamnyimaje fursa ya kusoma.
  4. B

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Takwimu hazitofautuani kabla ya utawala wake na sasa, sasa sijui hiyo fungulia mbwa inatoka wapi? Au anahisi ile kauli yake ya "zaeni watoto wengi elimu ni bure" inamsuta.
  5. B

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Hivi raisi anajua the term "second chance"? Unataka kuniambia katika maisha yake hajawahi kupewa second chance? Hii mimi nadhani busara itumike. Ujauzito sio kwamba ni mwisho wa ndoto za wasichana walio wengi wanaotaka kujiendeleza ki maisha. Wengi unakuta wanapewa mimba na walimu na watu...
  6. B

    Letter to UNHCR from Poul Rusesabagina of Hotel Rwanda

    Hahaha...having started with you on New Year's Eve 2014, i can safely say your venom is no longer life threatening. Sasa hivi ni mate ya kawaida. Unatema tu sisi tunajifuta. Endelea na riwaya zako for the new members who don't know you.
  7. B

    Vyombo vya habari vyampotezea Bashite, isipokuwa gazeti la CCM hivyo "Kick" imezimwa

    1. Bashite media blackout 2. Bashite media blackout 3. Bashite media blackout
  8. B

    Advertise to 12,000 consumers every day

    Nielimishe mkuu. I am always open to learning.
  9. B

    Advertise to 12,000 consumers every day

    Kwa hiyo hawa wateja wetu wakubwa ikiwemo kampuni moja ya simu nao ni wajinga sio? Unajua mkuu ningekuheshimu kama ungejisomea na kukaa kimya. Mungu aendelee kukubariki.
  10. B

    Advertise to 12,000 consumers every day

    Kwa kifupi ni kwamba tuna mkataba wa ku print folders zaidi ya 50,000 kila mwezi. Kwa gharama ndogo unaweza kuweka tangazo lako likaonekana na watu takribani 12,000 kila siku. Karibu
  11. B

    Advertise to 12,000 consumers every day

    Hapana mkuu, ni PM nikupe maelezo zaidi
  12. B

    Advertise to 12,000 consumers every day

    Do you want your product viewed by potentially 12,000 people everyday? Advertise with us for as as low as Tsh 800. contact us for more information. PM for information.
  13. B

    Sakata la Dr. Slaa: Wanasheria wamkabili Lissu

    riwaya ndeeeeefuu na hakuna cha maana ulichoandika. Subiri kichinjio mwezi oktoba halafu ndio uanze kuuliza hayo maswali ya kijinga.
  14. B

    Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

    wakati tunaendelea kumchana Kagame na serikali yake, hebu tusome kidogo taarifa hiyo hapo chini. Katikati ya machafuko na hivyo vita mashariki mwa DRC, Kagame anendelea kufanya kazi zake zingine. Tujifunze haya mazuri kutoka kwake badala ya kumshambulia kwa tuhuma zisizo na msingi...
Back
Top Bottom