Recent content by bitare

  1. bitare

    Bunge la Tanzania umekuwa muhimili mbovu na usio na tija wala faida kwa Taifa

    Hakuna mahala tutakusanyikia nakupiga hiyo kula, labda maandamano ya Nchi nzima kuelekea Bungeni.
  2. bitare

    Kwanini Tanganyika iliuhitaji zaidi Muungano kuliko Zanzibar?

    Kwamaelezo ya Tundu Antipasi Lisu aliyoyatoa kwenye mikutano yake ya hivi kalibuni niwazi kua Tanganyika iliuhitaji zaidi muungano kuliko Zanzibar, ndiomana tukawa tayali kuingia hata hasara ili tuu tuungane. Ikumbukwe baada ya muungano Tanganyika ikafa, Zanzibar yenyewe ipo, Mtanganyika...
  3. bitare

    Je, Tundu Lissu kumstaafisha Siasa Abdulrahman Kinana?

    Nilikua nafatilia namuona alivyokua anapangua hoja za Tundu Lissu nikajikuta nacheka kwa kumuonea huruma japo niliona umli unachangia.
  4. bitare

    Kauli ya Lissu imedhihilisha kuwa CHADEMA ni chama cha Democrasia na Maendeleo

    Katika vyama vya siasa vilivyo vingi Tanzania ikiwemo hata CCM yenyewe nivigumu kusikia kingozi au mwanachama akikosoa mwenendo wa chama au kiongozi wachama chake na asijikute katika wakati mgumu isipokua Chadema. kama unaukalibu na Poul Makonda muulize, Atakwambia yaliomkuta baada ya kutishia...
  5. bitare

    PreGE2025 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

    Tofauti ipo kubwa sana yani Chadema mtu unaweza kukosoa unavyotaka ila CCM ukikosoa tu jambo, Unaitwa kamati kuu. Yani hakuna uhuru CCM.
  6. bitare

    Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

    Duu Arusha yetu nayo? Mbona kaja na mibalaa yake huyu.
  7. bitare

    Barcelona yaishangaza PSG

    Unafikili nikipi kiliipa PSG asilimia zote zile dhidi ya Barca.?
  8. bitare

    Nani mwenye nguvu anayeruhusu 'Mauaji ya Sumu' ndani ya CCM?

    Na Nyamitako bado anawindwa sidhani kama atatoboa 2025.
  9. bitare

    Barcelona yaishangaza PSG

    Katika mechi ya Klabu bingwa Ulaya maarufu kama UEFA, iliyo chezwa leo tar 10/4/2024 Klabu ya Barcelona imeishangaza PSG Kama si Dunia Kwa ujumla. Hii Inathibitishwa hata na wataalamu wa soka wenyewe, ambao kabla ya mchezo huo iliwapa PSG %49 ya kushinda huku Barcelona wakipewa %26. Kikubwa...
  10. bitare

    Dar: RC Chalamila apokea msaada toka DP World Foundation kwa ajili ya wenye uhitaji mfungo wa Ramadhani

    Naona huyo mama yupo kihenga sana yani hadi amepiga magoti.
  11. bitare

    Hatimaye maigizo ya Makonda yamchosha Rais Samia

    Kama mtu anayeidhalau mahakama anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa niwazi kua hata aliyemteua anaidhalau mahakama.
  12. bitare

    Kama CHADEMA wana akili wangejikita kwenye Katiba

    Ungekua unafuatilia mikutanao yao sawasawa usingedhani kua chadema hawana hakili, yani wewe tatizo lako halieleweki kifupi nikua kila mkutano wa chadema kwasasa wanapinga katiba ya sasa lakini pia wanajenga hoja kwa kuchambua baadhi ya vipengele vilivyomo kwenye katiba hii kua havifai sasa...
  13. bitare

    PreGE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

    Halafu nimeshangaa kwanini maandamano hayapo live kama Dar au ndo wandishi walilambiishwa pesa, maana hadi waliwaandaa bodaboda nakuwahoji maswali waliyojibu kama walivyoelekezwa.
  14. bitare

    Mwanza: Wananchi Wakesha kwenye ofisi za CHADEMA ili kuwahi Maandamano

    Kweli waelezwe warudi kupumzika maana kitimtimu cha kesho si cha kitoto.
Back
Top Bottom