Recent content by BITALE MLEGE

  1. B

    JamiiForums Tanzania Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

    NI KWELI DINI YA KIKRISTO INASISITIZA UPENDO NA KWAKWELI MKRISTO NZURI ANAPIMWA KWA MAMBO MENGI UKIWA NI PAMOJA NA UPENDO. LAKINI PAMOJA NA HAYO YOTE UKRISTO HAUJAONDOA SABABU YA KUJILINDA NA HIVYO LAZIMA UJILINDE DHIDI YA ADUI WA ROHO NA ADUI WA MWILI. MATUKIO MENGI TUNAYOSIKIA YANATOKANA...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jirani anafuga nguruwe wananikera sana, nifanyeje ili wafe?

    JIFANYE SIMBA UKAWATAFUME. KUMBUKA HUO NI MFUGO KAMA MIFUGO MWINGINE MBUZI, KONDOO NG'OMBE SUNGURA nk.SASA ANGALIA USIINGIE KWENYE KESI KIJINGA KWAKUWA KAMA UNASUKUMWA NA IMANI YAKO KUMBUKA KAFUGIA KWAKE NA SI KWAKO.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tuweke Akiba ya uzeeni. Hakuna mwenye wajibu wa kututunza uzeeni isipokuwa akiba zetu tulizojiwekea ujanani

    NI KWELI KWA KUWA SHERIA YA MZEE INAMTAKA APELEKWE KWENYE KAMBI YA WAZEE WAKATI KUMTUNZA MTOTO NI LAZIMA. AMA KWELI HAPO NAMUONA MTUNGA SHERIA KAMA KWAMBA HAJUI KAMA ATAZEEKA.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislam hukinzana na Wakristo na sio Imani nyingine?

    MTU ANAPOKUCHUKIA HUWA AMEGUNDUA KUWA KUNA KITU UMEMPITA
  5. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Lissu na Mbowe wanatafutwa kukamatwa

    ZAWEZA KUWA ZA UKWELI KWAKUWA YULE BWANA ALIYENYOSHEWA BASTOLA ALISEMA MJENGONI KUWA WANAOPINGA WAKABILIWE KIKAMILIFU.
  6. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Karatu: Padri Pamphilius Nada auawa na mtu anayedhaniwa kuwa na changamoto ya afya ya akili

    POKEENI TAARIFA MLIUOPEWA MSIWAZE NYUMA YA PAZIA AU CHINI YA KAPETI
  7. B

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Familia: Membe amefariki kifo cha kawaida, puuzeni uzushi

    ASANTE KWA TAARIFA NZURI
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

    MLETA MADA HASOMI KATIBA? HAKUNA MAHALI PANAPO TAKA MKATOLIKI NDIYE AWE RAIS BALI NI MTZ MWENYE SIFA TOSHELEVU HATA WEWE UKITIA NIA UTAPATA ACHA KULIALIA.
  9. B

    JamiiForums Tanzania NEMC nawapongeza kwa kuzuia kelele mitaani

    YAPO MAENEO YA IBADA AMBAPO HAWAONESHI KUFIKA KIRAHISI AMBAPO ZIPO FUJO ZA KUFURU PENGINE HATA ZAIDI YA NIGHT CLUBS
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara aangua kilio bungeni na kutoka nje

    SASA HIVI AKILIA WAMCHAPE ALIE VZR
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tanga: BAKWATA yagonga Mwamba Idd yafanyika leo

    MAWASHAURI WAWE WAVUMILIVI NI SIKU MOJA TU
Back
Top Bottom