Recent content by BITALA

  1. B

    Matumizi mabaya ya Ofisi na ubadhilifu ndani ya Ngorongoro

    MATUMIZI MABOVU YA OFISI NDANI YA HFADHI YA NGORONGORO Mheshimiw Rais shikamoo. Napenda kukupa pole wewe na serikali yako yote kwa ujumla kwa majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa letu. Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa nguvu na hekima ili tuweze kufikia malengo tuliyojiwekea kama Taifa Watanzania...
  2. B

    Wizi na matumizi mabaya ya ofisi Hifadhi ya Ngorongoro

    Mheshimiwa Rais, Makamu na Waziri Mkuu shikamooni. Poleni na majukumu magumu ya ujenzi wa Taifa letu la Tanzania. Ninawatakia mwaka mpya mwema mkiwa na afya njema. Watanzania wenzangu habari za leo na poleni na majukumu ya kupambana na maisha. Katika kumalizia mwaka naomba leo naomba...
  3. B

    Ubadhilifu ndani ya hifadhi ya Ngorongoro

    Rais shikamoo. Hongera sana kwa kazi nzuri ya ujenzi wa Taifa hili changa. Kwa kweli ndani miaka mine umeonyesha mabadiliko makubwa sana katika nchi yetu. Mwenyezi Mungu aendelee kukupa afya njema ili utimizie ahadi zako zote ulizoplan kuzikamilisha. Pamoja na juhudi zako za dhati ila bado kuna...
  4. B

    Ubadhirifu na matumizi mabaya ya ofisi ya Hifadhi ya Ngorongoro

    Mheshimiwa Rais shikamoo, Awali ya yote nikupongeze sana kwa kazi nzuri unayoifanya ya kulijenge Taifa letu. Hongera sana na Mwenyezi Mungu aendelee kukupa nguvu na ujasiri kulifikisha taifa hili kwenye nchi ya Kaanan. Pamoja na juhudi kubwa unayoifanya ila bado kuna Watanzania wachache ambao...
  5. B

    Waziri wa Maliasili na Utalii safisha uchafu huu ndani ya hifadhi ya Ngorongoro

    Mheshimiwa Kigwangala habari ya leo. Hongera sana kwa kuteuliwa kwako kushika wadhifa wa Waziri wa Maliasili na Utalii. For sure you deserve. Nimefarijika sana kwa Mheshimiwa Raisi kumtoa Mheshimiwa Maghembe maana alikuwa ni mzigo na mpigaji wa pesa za mwekezaji lolilondo na kuwaona wenyeji wa...
  6. B

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mheshimiwa Raisi na Waziri Mkuu kwa moyo wa dhati napenda kuwapongeza kwa ujasiri mliokuwa nao wa kupambana na ufisadi uliokithiri katika nchi yetu ya Tanzania. Ninafahamu kwamba mko kwenye opersesheni tumbua majipu ila naomba sana mtembelee Hifadhi ya Ngorongoro maana na kwenyewe kuna majipu...
Back
Top Bottom